Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,817
- 5,403
Umezunguuuuuuka....kumbe pointi kubwa ni hiyo homoni ya nini sijui....hahahaha
Ukitaka jini mahaba asikusumbue usiku weww chukua kitunguu swuamu kisha weka tu ndani mwako iwe chumbani au sebuleni yaan hagusi.Unahisi pajama au bukta zinazuia jini mahaba !?
Bila shaka ww n wa kike, mambo.!Ungekuwa nayo hiyo qyuuuma ...usingehata waza hili
😳😳Unamaanisha mende na qyuuma,Ni mbali mbali..?Ungekuwa nayo hiyo qyuuuma ...usingehata waza hili
Jaribu siku moja ili umpe mrejesho mleta madaNi vizuri kulala bila nguo ila labda uwe sehemu za joto mara nyingi hupata nemonia na magonjwa ya baridi sichagui kulala bila vyupi mi nalalaga na simple night dress ili kimuhamasisha muzee

Nilishafanyaga kabisa naninzuri ila huku arusha unajipatia magonjwa ya baridiJaribu siku moja ili umpe mrejesho mleta mada![]()
Nilishafanyaga kabisa naninzuri ila huko arusha unajipatia magonjwa ya baridi

night dress nayo si inapitisha baridi tuNinyepesi ila inapamba kwa ndaninight dress nayo si inapitisha baridi tu
Usiache utakosa hewa mwishowe uamke unaumwaNilikuwa nalala naked lakini kuna mtoto wa pharao mmoja akaniambia unawaita wachawi kulala bila nguo tangu siku hiyo nikaacha mpaka leo
Nawewe huwezi, lala upate faida kijana😂😂😂 Mkuu lala uchi mwenyewe..!
Sababu ni jinn mahaba! Jinsi anavyokuingia ni vidoleni ukiwa umelala utupu usiku bila dua wala chochote cha kukulindaMkuu samahani ina maana huyu muombeaje alikuambia sababu ya chemistry kuharibika ni kulala uchi?
Nwaeza kulala na boksa Ila sio uchi bila sababu, ikitokea Basi ujue nimepiga shoo ya nguvu na wife kiasi kwamba baada ya hapo sijali kabisa kuhusu nguo..!Nawewe huwezi, lala upate faida kinana
Shoo ya ukwel had mzee hatak tenaNwaeza kulala na boksa Ila sio uchi bila sababu, ikitokea Basi ujue nimepiga shoo ya nguvu na wife kiasi kwamba baada ya hapo sijali kabisa kuhusu nguo..!


Yani Hadi swala la nguo unaona kama kazi nzito sana.Shoo ya ukwel had mzee hatak tena![]()
Niliposoma uzi wako ikabidi ...kini yangu tupa kule.. kuuelekea utafiti usiku huu
Haa haaa haaa majanga mzeeAhahahahahaha
Wanawake nadhan anaweza akaingiza sehem sahihi.....kwa mwanaume sasa ndo shughuli ilipo mamaeee



Kabisa mkuu, sema watu hawaelewiUmeniwahi mkuu, na hii ndio sababu ndoa nyingi sana zina changamoto ya kukosa furaha na amani. Haya makitu yakimuingia mmoja wenu yanaharibu chemistry yenu in full!