Faida za kulala uchi wa mnyama

Faida za kulala uchi wa mnyama

Umeniwahi mkuu, na hii ndio sababu ndoa nyingi sana zina changamoto ya kukosa furaha na amani. Haya makitu yakimuingia mmoja wenu yanaharibu chemistry yenu in full!
Hivi kwan yapogo hayo makitu??
Mm sijawahi msikia mtu akishuhudia hii
 
Hivi kwan yapogo hayo makitu??
Mm sijawahi msikia mtu akishuhudia hii
Hahah yapo mzee, nshaishi nalo moja likawa linatembea ndani kabisa unaona vivuli tu. Acha kabisa yani ila nilitafuta tiba maana mahusiano yalikuwa yanaenda kuvunjika nilipo apply tiba hali ya amani ikarejea mpaka leo. Bibie alikuwa akiniona tu lazma akiwashe
 
[emoji15][emoji15][emoji15] Extrovert iyo ni kweli au uzushi aiseee ilo si jini mkuu au inakuwaje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Halafu tule Sana nyasi

Weeeeee....
Aseeee
Yanagusishwa na nguvu za giza?
 
[emoji15][emoji15][emoji15] Extrovert iyo ni kweli au uzushi aiseee ilo si jini mkuu au inakuwaje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukilala uchi unaingiliwa na mchawi au saingine jini kabisa. Maana unakua exposed kwenye ulimwengu wa giza. Wakikatiza angani tu wanakuona live umejiachia hata kama umejitia blangeti😂😂😂

Yeyote mwenye nia ovu anaweza kukuingia ki wizard.
 
Ukilala uchi unaingiliwa na mchawi au saingine jini kabisa. Maana unakua exposed kwenye ulimwengu wa giza. Wakikatiza angani tu wanakuona live umejiachia hata kama umejitia blangeti[emoji23][emoji23][emoji23]

Yeyote mwenye nia ovu anaweza kukuingia ki wizard.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiv mkuu unajua boxers zetu za kisasa ni kama tu upo uchi au unasemaj[emoji3]
 
Pumbu ni mabody guards...ndo yapo katikat ya mzee mwenyewe kuhakikisha usalam[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh umetisha sana ndio mana mfalme analindwa sana na mabodigadi kama mashine na mapumbuziii[emoji14][emoji14]

Back
Top Bottom