Faida za kulala uchi wa mnyama

Faida za kulala uchi wa mnyama

Wapi popo bawa
Dah nakumbuka popobawa enzi zile tulikuwa washikaji hatulali tupo geto tunajisomea usiku kucha tunalala kwa zamu yani ilikuwa amsha amsha sasa kuna siku tumelala tukasikia mjomba mmoja amedibuliwa na popobawa atujakaa hata siku mbili jamaa mwingine nae kaliwa basi ikawa wazee wa kazi no kulala huku mikono umeziba msambwanda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umeziba nini
 
Eeh mkuu, ina cost japo ukiwa hujui unaweza ona sawa tu. Mi yalishanifika! Nikaita mtumishi akatoka mbio siku ya kwanza tu ya maombi hakurudi tena. Kulikuwa na mdudu ameweka makazi mjengoni kabisa na alikuwa akimuingia beibe beibe wangu.
kwa iyo mzimu alimkula bebi wako pole sana mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe tangu uanze kulala uchi kuna siku umeamka mlango wa nyuma unauma?
Kama sio amini basi hizo mambo hamna n ni mastori ya town
nimecheka sana eti mlango wa nyuma unauma, mkuu hapana mlango wangu wala aunaga maumivu buana wee ngoja niendelee kulala uchi ya nn kuanza kuvuana chupi wakat wa gegedo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kwa iyo mzimu alimkula bebi wako pole sana mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio kumla tu, anavuruga chemistry mnakuwa hamuelewani, kitu kidogo mnagombana kila siku hata mwanamke anakuwa kiburi sana unaeza mpiga ukamuumiza vibaya..Lenyewe halitaki mshirikiane.

Ndoa nyingi zinapitia huu msuko suko trust me. Mwanamke anakuwa hana hamu ya tendo ghafla kumbe ni spiritual husband.
 
Waache wenzio walale uchi, kwani kuvaa kaptula inachukua dakika ngapi?
Na hayo matukio yanatokea mara ngapi kwa mwaka?
Miaka 5 hujawahi sikia fyoko za mwizi bado ukajilaze na nguo
Vipi ikitokea kibaka kaeaingilia then mkatolewa wote na watoto unadhan watasubir uvae nguo
 
Sio kumla tu, anavuruga chemistry mnakuwa hamuelewani, kitu kidogo mnagombana kila siku hata mwanamke anakuwa kiburi sana unaeza mpiga ukamuumiza vibaya..Lenyewe halitaki mshirikiane.

Ndoa nyingi zinapitia huu msuko suko trust me. Mwanamke anakuwa hana hamu ya tendo ghafla kumbe ni spiritual husband.
Dah sasa hapa kuna kitu nimekipata mkuu, kuna watu wanasafa sana na misukosuko kwenye mausiano pasipo kufahamu tatizo ni nini kumbe itakuwa hicho ukisemacho basi kipo mkuu kweli kuna mda ndoa inakuwa na mifarakano ya hapa na pale kumbe iyo mijini ishafanya yao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni maoni yako au ni Biblical?

Imeandikwa aliumba vinavyoonekana na visivyoonekana, sasa hapo kwenye visivyoonekana kuna ambao wako impressed na mwili wa binaadam kwa ushetani zaid ndo maana kuna majini mahaba.
 
Ma story ya town eeh, unless otherwise utokee jamii za waswahili au vijijini utakuwa protected na hayo mavitu toka ukiwa mdogo!

Sie tuliozaliwa mitaa ya Salender ambao hatukufungwa hata vitambaa vyeusi mkononi sishauri mtu kuji expose namna hio usiku.

Wachache sana tulioishi mitaa ya kiswahili tunaelewa hii habari. Ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom