Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Nilimwacha mkuu 😅😅😅sasa hivi keshakula kufuli😜😜🧚♀️🧚♀️🥂🥂Mwache bibi apate hewa ya oksijeni
Nilimwacha mkuu 😅😅😅sasa hivi keshakula kufuli😜😜🧚♀️🧚♀️🥂🥂Mwache bibi apate hewa ya oksijeni
Duh mkuu mbona tunatishana aisee kumbe ndio hiko ivyo basi wengi walala uchi watakuwa wanapakuliwa sana usiku kuanzia leo silali tena uchi mana ndio tabia yangu iyooUkilala uchi unaingiliwa na mchawi au saingine jini kabisa. Maana unakua exposed kwenye ulimwengu wa giza. Wakikatiza angani tu wanakuona live umejiachia hata kama umejitia blangeti
Yeyote mwenye nia ovu anaweza kukuingia ki wizard.






hiv mkuu unajua boxers zetu za kisasa ni kama tu upo uchi au unasemaj
![]()











Waache wenzio walale uchi, kwani kuvaa kaptula inachukua dakika ngapi?Wanaume msifate huu ushauri. Lala na nguo Ila iwe loose sana. Mwanaume ni mkuu wa ulinzi, ukisikia kishindo ni chap na silaha mkononi.
Yani live nakwambia, mie nilianza poteza ufanisi baada ya kuanza lala uchi saingine unataka kupiga mambo hamu ipo ila mashine inanywea ukishika tako tu la mama uanze mipapaso kutafta unyevu kitu inalala ghafla.Weeeeee....
Aseeee
Yanagusishwa na nguvu za giza?
Unahisi pajama au bukta zinazuia jini mahaba !?Ila kiroho sio vizuri, Ni hatari mno, Sishauri mtu alale uchi. Unakaribisha jini mahaba na roho chafu zinazozunguka usiku.
Wewe tangu uanze kulala uchi kuna siku umeamka mlango wa nyuma unauma?Duh mkuu mbona tunatishana aisee kumbe ndio hiko ivyo basi wengi walala uchi watakuwa wanapakuliwa sana usiku kuanzia leo silali tena uchi mana ndio tabia yangu iyoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapo sasa?Unahisi pajama au bukta zinazuia jini mahaba !?
Eeh mkuu, ina cost japo ukiwa hujui unaweza ona sawa tu. Mi yalishanifika! Nikaita mtumishi akatoka mbio siku ya kwanza tu ya maombi hakurudi tena.😂😂😂 Kulikuwa na mdudu ameweka makazi mjengoni kabisa na alikuwa akimuingia beibe beibe wangu.Duh mkuu mbona tunatishana aisee kumbe ndio hiko ivyo basi wengi walala uchi watakuwa wanapakuliwa sana usiku kuanzia leo silali tena uchi mana ndio tabia yangu iyoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ma story ya town eeh, unless otherwise utokee jamii za waswahili au vijijini utakuwa protected na hayo mavitu toka ukiwa mdogo!Wewe tangu uanze kulala uchi kuna siku umeamka mlango wa nyuma unauma?
Kama sio amini basi hizo mambo hamna n ni mastori ya town
Weee lala tu uchi pumbu zako ziwe imaraDuh mkuu mbona tunatishana aisee kumbe ndio hiko ivyo basi wengi walala uchi watakuwa wanapakuliwa sana usiku kuanzia leo silali tena uchi mana ndio tabia yangu iyoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app




wasikutisheSio mwizi tu hata mwanao akipiga kelele unatakiwa ufike room kwake chap. Nguo loose mbona ipo sawa tu, halafu kawaida kama umeshakuwa na familia ni impossible kulala uchi maana watoto asubuhi wanavamiaga tu chumbani kwenu, saa zingine hata usiku unashangaa binti yako kaja chumbani hataki kulala mwenyewe maana chini ya uvungu kuna mgambo anamuogopa. Labda kama watoto wako wote weshakuwa watu wazima ss unaweza lala uchi. For me, nguo loose inatosha.Waache wenzio walale uchi, kwani kuvaa kaptula inachukua dakika ngapi?
Na hayo matukio yanatokea mara ngapi kwa mwaka?
Miaka 5 hujawahi sikia fyoko za mwizi bado ukajilaze na nguo
Ama hakika kila mtu na mtazamo akeWanaume msifate huu ushauri. Lala na nguo Ila iwe loose sana. Mwanaume ni mkuu wa ulinzi, ukisikia kishindo ni chap na silaha mkononi.
duh umetisha sana ndio mana mfalme analindwa sana na mabodigadi kama mashine na mapumbuziii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app





nmecheka sana had jirani kastukautafiti uliendaje?Niliposoma uzi wako ikabidi ...kini yangu tupa kule.. kuuelekea utafiti usiku huu
Nitaumalizia jion...utafiti uliendaje?