Faida za kulala uchi wa mnyama

Faida za kulala uchi wa mnyama

Duuuh kumbe JF huwezi kumficha mtu location asee ,mi mgeni humu uwa napendelea zaidi kusoma threads
Nakuzingua, huko Mbagala ndio story zao nyingi za popobawa, Mara mtoto kalawitiwa na Mwalimu wake wa dini, Mara watoto wamekojolea kitabu Cha dini... Basi ni raha tupu
 
Mkuu upo sawa,, yaan huu uzi umenigusa mimi mzee wa naked yaani nimeusoma nimelaaa na nipo uchi wa mnyama.
Kila asibuhi nikiamka huwa najikuta ni mtu mwenye furaha na kujiamini sababu ya kulala uchi.

Wakuu anzeni kulala uchi mpate faida hizi .
Popo bawa ni hatari sana kwa walala uchi
 
Ndio mana pumbu zangu zipo fiti zinakuwa ngumu ngumu labda kwa sababu zinakuwa wazi usiku kucha kuanzia leo silali na boksa
 
Back
Top Bottom