Faida za kuezeka nyumba kutumia vigae

Faida za kuezeka nyumba kutumia vigae

Kabisa inabidi upige msingi imara maana vigae vile ni sawa na kupiga slab.
Tatizo mbao zikizeeka utakoma utakiamkia kigae shikamoo.
Paa utaliona hilo linapinda na kubomoa vigae

Kigae ni.kizito mbao huweza himili .mwanzoni lakini muda unavyoenda mbao hupoteza uwezo Wa kuhimili

Nyumba za vigae zinadumu zaidi maeneo ya baridi sio ya joto hata nyumba za mbao maeneo ya baridi zinadumu sana
 
View attachment 1425814

Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.

Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.

Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.

Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
Mchunga peku hapendi.. ila hana viatu🚶‍♂️
 
Wanasema ukitaka kupiga Kigae inabidi msingi uwe imara na ulaze tofali ili kuhimili mzigo wa kigae.
ndio mkuu, na mbao nzito za kutosha kubeba kigae, yani ujipamge haswa kuanzia msingi, si unaona namna kigae kilivyo kizito
 
Tatizo mbao zikizeeka utakoma utakiamkia kigae shikamoo.
Paa utaliona hilo linapinda na kubomoa vigae

Kigae ni.kizito mbao huweza himili.mwanzoni lakini muda unavyoenda mbao hupoteza uwezo Wa kuhimili

Nyumba za vigae zinadumu zaidi maeneo ya baridi sio ya joto hata nyumba za mbao maenei ya baridi zinadumu sana
Nyumba walizojenga Wajerumani kwenye mashamba ya mikonge Tanga, Mtwara mpaka Morogoro vigae bado vipo na nyumba zinadunda.
 
Dada hapo mwisho umezingua

Hiyo midude ina joto hatari kipindi cha joto. Kumbuka ni udongo huo, unapata joto kwa kuchelewa na linachelewa kupoa
 
Nyumba walizojenga Wajerumani kwenye mashamba ya mikonge Tanga, Mtwara mpaka Morogoro vigae bado vipo na nyumba zinadunda.
Mashule mengi na makanisa yaliyojengwa kwa vigae na wakoloni mengi yalishavunjika yameezekwa bati
 
Dada hapo mwisho umezingua

Hiyo midude ina joto hatari kipindi cha joto. Kumbuka ni udongo huo, unapata joto kwa kuchelewa na linachelewa kupoa
Huchelewa kupata joto hiyo ndiyo dhana. Jus la Sas sita utafikiri ulo kwenye AC. Suborn usiku sasa
 
Ni vizito na vinahitaji mbao nyingi sana za kupaulia,gharama ya ufundi ni kubwa kulinganisha na bati,.
View attachment 1425814

Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.

Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.

Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.

Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
 
Dada hapo mwisho umezingua

Hiyo midude ina joto hatari kipindi cha joto. Kumbuka ni udongo huo, unapata joto kwa kuchelewa na linachelewa kupoa
Tatizo watanzania tunapenda urembo hizo nyumba za vigae ni za maeneo ya baridi ni mahususi kwa maeneo ya baridi ili.kutunza joto ndani ndio maana ulaya zinapendwa sana

Mikoa yenye baridi hizo nyumba zinawafaa sana sio maeneo ya joto
 
Fanya unachoweza na acha wengine wafanye wapenfabriek. Mbona Oysterbay nyumba za vigae bado zipo na zimekaa zaidi ya miaka 💯
 
Back
Top Bottom