Asbestos is a group of six naturally occurring fibrous minerals composed of thin, needle-like fibers. Exposure to asbestos causes several cancers and diseases, including mesothelioma and asbestosis. Although asbestosstrengthens and fireproofs materials, it is banned in many countries.
Vigae au tiles ni pure udongo uliochomwa.
Muhimu ni mbao za kenchi kuwa zenye ubora wa hali ya juu. Ni nyingi pia.View attachment 1425814
Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.
Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.
Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.
Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
Zamani walikua wanatumia mbao za mvule siku hizi mvule ni mmea unaolindwa.Muhimu ni mbao za kenchi kuwa zenye ubora wa hali ya juu. Ni nyingi pia.
In the long run, ni cheaper kuliko kubadili bati na kenchi Mara kadhaa wakati vigae vitakuwa vile vile.
Siku hizi ni Cypress treated. Sina uhakika zinadumu miaka mingapi.Zamani walikua wanatumia mbao za mvule siku hizi mvule ni mmea unaolindwa.
Thanks kwa elimu.Tatizo mbao zikizeeka utakoma utakiamkia kigae shikamoo.
Paa utaliona hilo linapinda na kubomoa vigae
Kigae ni.kizito mbao huweza himili.mwanzoni lakini muda unavyoenda mbao hupoteza uwezo Wa kuhimili
Nyumba za vigae zinadumu zaidi maeneo ya baridi sio ya joto hata nyumba za mbao maenei ya baridi zinadumu sana
Kwa Bongo tatizo ni mafundi wanazikosea zinavuja sana, lkn kwa hakika zinapunguza Cost ya Uezekaji.Jamani sioni umaarufu wa baki design ya flat ukipaa hapa bongo
je,tatizo ni mtindo haujawavutia watu,gharama za ujenzi hasa ufundi,mafundi bado hawako wa kutosheleza ndio maana nyumba hazijazagaa,au tatizo nini maana binafsi huwa zinanivutia sana.
Nje ya mada kidogo lakini Victoire
Acha kudanganya nani kakwambia vigae vibapunguza joto kwenye nyumba?View attachment 1425814
Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.
Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.
Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.
Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
View attachment 1425814