Kwa Dar wapi vinapatikana na vipi being yakeView attachment 1425814
Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.
Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.
Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.
Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
Ukivipata ujue vina mkono wa mchina. Yaani feki
I got two houses in one compound moja nimepiga kigaeMkono hujikuna unapofika
Tembo Block wanatengeneza Vigae Kiwanda kipo Mikocheni.
Wanasema ukitaka kupiga Kigae inabidi msingi uwe imara na ulaze tofali ili kuhimili mzigo wa kigae.View attachment 1425814
Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.
Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.
Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.
Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
Kabisa inabidi upige msingi imara maana vigae vile ni sawa na kupiga slab.Yaah usikurupuke kwenye finishing ukataka vigae. Msingi wa milioni 20+ kwa nyumba ya vyumba vitatu.
Tofali ya nchi sita block inatosha,kuanzia kwenye msingi mpaka kupauaKabisa inabidi upige msingi imara maana vigae vile ni sawa na kupiga slab.
kwa mzigo wa vigae inabidi ulaze nchi 6 kama unapiga ghorofa.Tofali ya nchi sita block inatosha,kuanzia kwenye msingi mpaka kupaua
Wakati unafanya niniTatizo la la kigae nvua ikinyesha hauinjoy husikii kelele ya nvua....
wengine tunapenda kelele ya nvua bati la msauzi linatosha
Gorofa huna haja ya kiweka tofali hivyo...mzigo wa paa, beams na slabs utabebwa na colums all the way to foundation.kwa mzigo wa vigae inabidi ulaze nchi 6 kama unapiga ghorofa.