Fahari wawili hawakai zizi moja

Fahari wawili hawakai zizi moja

wakati huo mie ndo nilipenda, sikupendwa na hao wa wakati huo ndo wamefanya wanaonipenda sasa mie nawachukulia poa tuu wala mshipa wa msisimko hausimami hata aniambie kwa kichina ILU, hivyo mie siumii wala sipotezi muda kuwaza madugude hayo sana sana wanaonipenda ndo wanaumia vile mie nawatreat na wakisepa wanashangaa kesho niko club kama kawa na nikitaka kupigwa puli napata kama kawa.
Thats my life, my rules. Kazini, club, mziki, home. likizo fyuuuuuuu kujirusha. IVO

Bt you dont sound kama your beatiful kiivo!!!so may be hata wao uwa hawaumii coz kwa umri wako anaekupenda ni babu bomba...vijana wabichi kama mm kwa uo umri sikuangalii mara mbili...kuna watoto wazuri mno wabichiiii....
 
WAIT A MINUTE AGAIN,................
Unajua nakuscreen tangu jana usiku sikusomi. U seem so interested na hii issue hasa kulazimishia kuwa Kasie nimeumia kwa kuachana na huyu mnato wa Dubai na una insist kuwa yeye hajaumia bali ni mimi.
Halafu........., hebu tafuta hoja za kuongea na si kuanza kutapatapa. Who said that am beutiful, katika post zangu ushaona hata siku moja nimejinadi kuwa mie niko beauty, NOP. Sura za kitanzania nazijua na umri unavosonga mng'ao unafifia kwa binadamu yeyote yule aliyezaliwa na mwanamke. Nakushangaa na nashindwa kukuelewa unaposema kwa umri wangu wanaonipenda ni vibabu bomba SOOO!!!!................... unawaonea gele....??
Halafu kwa taarifa yako huwa siwashobokei kata kei na wavaa mibano kama diamond hata siku moja, nikisema hivo hope unanielewa kama hujanielewa rudi shule huku akukufai.
Halafu............., kama wewe mbichi, nile embe bichi mie mjamzito??? uniangalie mara mbili ili iweje?? tena ukiniona pita kando na ikiwezekana geuza njia upite hukoooo, kwani unanilisha?? unanivisha???? hunilipii kodi wala hunipeleki chooni na UWEZO HUO HUNA!!! mtoto chutama tafuta pori upuu eehhh Kasie humuwezi endelea na hivo vibichi vyako.

Waache wazee wale vitu vilivyoiva vyenye ladha na utamu tena kwa nafasi na kwa afya na starehe, sio vibichi hata muda wake wa kutumika bado ugwadu tuu ukila sura unaikunja utasema unatafuta choo cha mapera au mabungo ptuuu kesho unakuja kulalama hapa, wabichi hao hao hawajui mchezo, machejo hawana mnyooooooooooooooo, paimbaiffffffffffffffffff!!!

Hebu nipishe mie niende zangu acha kunzonga zonga. IVO
 
Kasinde Jangwani ulimaliza lini? maana na mm nilisoma Tution kwa mwalimu mkichwe (RIP) .umenikumbusha mbali sana , maana tulikuwa tukitoka pale siku ya jumamosi tunasoma na wavulana wa Azania.
 
Nipigie..., mpenz wangu nipigie,.....(akirudi ndo itakua hivi....practical application of your signature)

Hahahaahhaaaaaaaaa waapiiiiii, akipiga atasikia, Kasie is NO LONGER REACHABLE, TRY SOMEWHERE ELSE. IVO. 100.
 
Kabsaaa kwa raha zangu yaani IVO. heheheheheeeee

Unaact una enjoy life lkn mtu akisoma tuu post zako anajua kabisa u are full of stress. Umri umeenda, hauna mtoto, haupendwi yaani ni shaghalabagala.
 
Kasinde kama uliweza kuifuata marekeni naamini hata hapo dubai a day utakwenda tu.
 
Last edited by a moderator:
WAIT A MINUTE AGAIN,................
Unajua nakuscreen tangu jana usiku sikusomi. U seem so interested na hii issue hasa kulazimishia kuwa Kasie nimeumia kwa kuachana na huyu mnato wa Dubai na una insist kuwa yeye hajaumia bali ni mimi.
Halafu........., hebu tafuta hoja za kuongea na si kuanza kutapatapa. Who said that am beutiful, katika post zangu ushaona hata siku moja nimejinadi kuwa mie niko beauty, NOP. Sura za kitanzania nazijua na umri unavosonga mng'ao unafifia kwa binadamu yeyote yule aliyezaliwa na mwanamke. Nakushangaa na nashindwa kukuelewa unaposema kwa umri wangu wanaonipenda ni vibabu bomba SOOO!!!!................... unawaonea gele....??
Halafu kwa taarifa yako huwa siwashobokei kata kei na wavaa mibano kama diamond hata siku moja, nikisema hivo hope unanielewa kama hujanielewa rudi shule huku akukufai.
Halafu............., kama wewe mbichi, nile embe bichi mie mjamzito??? uniangalie mara mbili ili iweje?? tena ukiniona pita kando na ikiwezekana geuza njia upite hukoooo, kwani unanilisha?? unanivisha???? hunilipii kodi wala hunipeleki chooni na UWEZO HUO HUNA!!! mtoto chutama tafuta pori upuu eehhh Kasie humuwezi endelea na hivo vibichi vyako.

Waache wazee wale vitu vilivyoiva vyenye ladha na utamu tena kwa nafasi na kwa afya na starehe, sio vibichi hata muda wake wa kutumika bado ugwadu tuu ukila sura unaikunja utasema unatafuta choo cha mapera au mabungo ptuuu kesho unakuja kulalama hapa, wabichi hao hao hawajui mchezo, machejo hawana mnyooooooooooooooo, paimbaiffffffffffffffffff!!!

Hebu nipishe mie niende zangu acha kunzonga zonga. IVO

Povu la nn...kama ni uongo....im playing wth your mind...na nmeprove kweli hujiamin...pole jifunze kujiamini mtu mzima wewe, maneno mengiii waachie wasichana
 
Kasinde Jangwani ulimaliza lini? maana na mm nilisoma Tution kwa mwalimu mkichwe (RIP) .umenikumbusha mbali sana , maana tulikuwa tukitoka pale siku ya jumamosi tunasoma na wavulana wa Azania.

Oooohhh kumbe mwl. mkichwe alishafariki ooohh, mie nilisoma Zanaki sec
 
Back
Top Bottom