Wewe ndio sterling, author na kila kitu kwenye uzi wako bestie. Lakini ukishaweka uzi sio wote watakupenda...kila mtu ataleta yake, kama huna kifua huwawezi...naona unaanza kuweweseka.Let me ask u like Kansiime now, r u the sterling of the story or Kasinde? And who is the author?
Wananiita popo, nakesha nakula ujana... niko fit kamili gado full kula ujana. katika vijembe hizo kwoti za hapo juu nazo ni vijembe? Kumbe hujui vijembe eehh, just google maneno ya vijembe utayapata.
Mkuu,Africa 2012 ni nchi chache mno zilikua na access,say SA....soma vizuri spreading trend yake acha internet trolling
Sasa dada Kasinde...hizi mbwembwe za staili hii wanafanya wasichana wa kidato cha pili au cha tatu,sasa imagine anazifanya msichana wa 40 years old!!!!!í-½í¸³
There is something seriously wrong somewhere Kasinde!!!!
unaweza kuwa right kama mimi binafsi nimeanza kutumia mwaka huu 2014....ila usiseme 2012 WHATSAPP HAIKUWEPO COZ ILIKUWEPO.
Mkuu WhatsApp ipo tangu 2009...Ila Kasinde hajatumia hii kitu 2012...kwanza penetration ya smartphone Africa 2012 unajua ilikua ni ngapi?
Im.not a kid....ni mwanaume tena mwanaume haswaaa....6.2ft...
go en play with ya kids manake ni kacheze na watoto wako na si kuwa wewe ni mtoto. sorry/samahani kwa kuingilia yasiyonihusu
....tatizo liko hapo bold tu. Kwa umri ulosema wewe sio kijana tena, unakula "u middle age" nadhani...teeh!
....naona umeshindwa kuhimili vijembe vya wadau leo..!!
Ndo umeandika wewe....en ndo nn....ya ni kiingereza au kisukuma...mbna sielew
i have no idea. my point is,and it is a FACT whataspp ilikuwepo 2012....whether kasinde used it or not.....OR whether africa had low number of smartphones or high...ILIKUWEPO.
Hahaha huyo ndio Kasinde bhana..nimeskia akisema ujana wake (20s) hakuutumia kwani alikuwa amebanwa na wazazi na a kutafuta hela. Sasa yuko vizuri kifedha na uhuru ndo anakula yale ya ujana, hence, "nakula ujana". Manake unaweza kuwa mzee ukala ujana na ukawa kijana ukala uzee. lol. Kuna mahali atafika huko kwenye clubs atakuwa anajiona mgeni, hapo sasa ataanza kula u-middle age na uzee kabisa.
sijaandika nime-quote yaani nimenukuu. Na "en" ilivyotumika katika muktadha huo ni kiingereza . "and" katika "connected speech" huwa inapoteza "d" kama inafuatwa na konsonanti na katika maandishi huwa inatumika katika mazingira lugha yasiyo rasmi (informal). Sasa kama hukuelewa mbona ulijibu kuwa wewe si mtoto bali mwanaume haswaaa...??!!
Siwez cheza na watoto...then uwa napendelea mtu anaeandika kiume...uandishi wa ki-BRN uwa siutaki
Siwez cheza na watoto...then uwa napendelea mtu anaeandika kiume...uandishi wa ki-BRN uwa siutaki