Fahari wawili hawakai zizi moja

Fahari wawili hawakai zizi moja

I agree with u, na hapo one night stand ndo zinahusika, full kuchubwika asubuhi kila mtu na time zake, IVO

Kuna mda unafika unatamani blanketi chapa mtu unalitamani kabisa
 
Wait a minute, r u the guy of the story!?? Mbona macho yamekutoka pima kuusemea moyo wa kijana mnato aliye Dubai? If its u, pole Kasie is no longer available, very busy kusuka hela na kula ujana.

THOMAS...!! kwa mwandawazimu kaingiaje, oooh kitorondoo.... imekula kwako, kama si wewe mpelekee salamu.

Moja ya comment zako umesema unakaribia 40yrz!!!ni ujana uo unakula au....arebabaaa unamaneno mingiii its y nna mashaka na kujiamin kwako....just that nothing personal
 
Mwinyi, hivi nikiwaambia napigana na uzee kula ujana hamnielewi eeh. Mie wa longi sana, waliosoma tuition kwa mkichwe wanaweza kadiria umri wangu, but siufichi niko btw 35 na 40

Miaka ya 90 Watoto wa Shaaban Robert a.k.a kina kaka mnato walikua wanasoma tuition???
 
Kasinde wassap kipindi cha mwinyi?
Hata tritel na motibel ilianza kipindi cha njomba Nkapa.

naona mnamshikia bango ngoja nimsaidie....kama umesoma vizuri kasema kasoma wakati wa mwinyi ndio kakutana na huyo jamaa, wakapoteana kila mtu kimaisha then wakagongana harusini washakuwa watu wazima wakabadilshana namba baadae kidogo jamaa akaenda dubai that was 2012 whatsapp ilikuwepo i guess.
 
Miaka ya 90 Watoto wa Shaaban Robert a.k.a kina kaka mnato walikua wanasoma tuition???


ndio. nimesoma secondary mid-late 90s na nimesoma tuition na watoto wa shabaan robert na mzizima wengi tu....kama ushasikia tuition kwa machagga au mkandawire
 
Kasinde kwani O-level ulisoma msimu wa Mwinyi au Mkapa?

Enzi za mwinyi, i.e 1995 kurudi nyuma.. Wakati huo Dinazarde bado hajazaliwa.

Tukisema alimaliza Form 4 mwaka 1995 tuseme akiwa na miaka 16 basi uwezekano ni kuwa alizaliwa mwaka 1979 au kabla.

Bado anakula ujana eti!!
 
Last edited by a moderator:
Karibu, enjoy while it last. Nshatupa kulee si unajua crush kwangu kila leo, mtu akizingua, tupa kulee, IVO
haahahahhaha Kasinde mi wanifurahishaga tu post zako..... yan ukiamua umeamua... IVO.... hahhahahhahaha

yule mlopendana akakupeleka dunia nyingne kaishia wap tena jaman, hahahhahaa
 
Last edited by a moderator:
Yaani kwa Kasie kama mwanaume ananipima imekula kwake, huwa sirembi wala sibembelezi. Kuliko nifanye mabembelezo bora niende club nikale ujana.

Wanaume wanapenda sanaaaaaa kubembelezwa! Acha kabisa! Mda mwingine hakutafuti tuuuuu ili akupime utafanyaje! Au anakupumzisha tu bench hamna mawasiliano ili tu urudi crawling to his feet! Nyoooooooo! Hapo ndo ule usemi USIACHE MBACHA KWA MSALA UPITAO una kazi muhimu. Akianza drama mimi na Ze Zomby aaaah tunasahaulishana machungu. Ila kama huna walau mazombi ma 2 au 3 lazima ukamlmbe makalio! Usiku haukuchi unless huo usiku uko kwnye viti virefu na Zomby!
scary-smiley-screaming-emoticon.gif
Moyoni unamwambia yule looser
kissmyass.gif
 
Marahaba, hata kazini nazipokea sana hz, aisee kumbe wewe toto.

Hivi Kasie hukusoma Zanaki wewe kweli?

Nilikuwa na mademu wangu wawili walisoma Zanaki na mmoja ana swagga kama zako.

Kila siku nilikuwa nakuja kumchukua na Pajero InterCooler la mshua.

Wewe..wewe...wewe.....
 
Hahahahaaaa NN ukistukia issue unakula cobis, sasa wewe unamwaga mchele hapa wadonoaji wengi. Hizi mambo unazileta chumbani hapa watanidonoa looh. Halafu mwenzangu alikuwa nani maana umesema tulikuwa 2...
Hivi Kasie hukusoma Zanaki wewe kweli?

Nilikuwa na mademu wangu wawili walisoma Zanaki na mmoja ana swagga kama zako.

Kila siku nilikuwa nakuja kumchukua na Pajero InterCooler la mshua.

Wewe..wewe...wewe.....
 
Back
Top Bottom