Fahari wawili hawakai zizi moja

Fahari wawili hawakai zizi moja

Hahahahaaaa NN ukistukia issue unakula cobis, sasa wewe unamwaga mchele hapa wadonoaji wengi. Hizi mambo unazileta chumbani hapa watanidonoa looh. Halafu mwenzangu alikuwa nani maana umesema tulikuwa 2...

Mwenzako alikuwa totoz moja kali sana....alikuwa anakaa Sea View. Alikuwa anaitwa Ley.....(malizia mwenyewe).

Nakumbuka kwenye Food Evening moja hivi pale SRSS wote mlikuja bana. Kwa lugha ya kitaa enzi hizo tunasema niligonganisha magari.

Aisee nilijilaumu sana. Maana wakati huo ile nyimbo ya Hip Hop Hooray ndo ilikuwa imebamba sana na mimi siku hiyo nilikuwa nimepanga nipande stejini wakati wa talent show halafu nianze kuchana.

Nilipostukia wote mpo nikasepa.
 
Pamoja sana, unatumia kinywaji gani? Agiza vitatu bili kwangu. Usiku mwema.
Hamjamuelewa kipindi hiko alikuwa anasoma

Badae ya kumaliza kusoma ndo wakaja kukutana tena

Nimemsaidia tu kujibu
 
Mmmhh weewee usinikumbushe flash back. Enzi za cocert inaandaliwa kiingilio sjui ilikuwa 1,000 au 2. Watu wana perform mbaya stejini hahahahaaa NN looh I cant u...

Mwenzako alikuwa totoz moja kali sana....alikuwa anakaa Sea View. Alikuwa anaitwa Ley.....(malizia mwenyewe).

Nakumbuka kwenye Food Evening moja hivi pale SRSS wote mlikuja bana. Kwa lugha ya kitaa enzi hizo tunasema niligonganisha magari.

Aisee nilijilaumu sana. Maana wakati huo ile nyimbo ya Hip Hop Hooray ndo ilikuwa imebamba sana na mimi siku hiyo nilikuwa nimepanga nipande stejini wakati wa talent show halafu nianze kuchana.

Nilipostukia wote mpo nikasepa.
 
Mmmhh weewee usinikumbushe flash back. Enzi za cocert inaandaliwa kiingilio sjui ilikuwa 1,000 au 2. Watu wana perform mbaya stejini hahahahaaa NN looh I cant u...

Unaikumbuka lakini hip hop hooray wewe?

Ngoja nikukumbushe basi kidogo....

I live and die for Hip Hop
This is Hip Hop for today
I give props to Hip Hop so Hip Hop hooray...
Ho...Hey...Ho...hey..hoo...heeey
 
Asantee, ukubwa jalala, ukiona saa hii nautafuta ujana ilhali unaniacha ujue ni nyani mzee nimekwepa mishale mingi. Niko gadoo

Ila heshima yako kipindi hicho mkapa ndo nalitafuta la kwanza

Hii inaitwa usinichukulie poa
 
Asantee, ukubwa jalala, ukiona saa hii nautafuta ujana ilhali unaniacha ujue ni nyani mzee nimekwepa mishale mingi. Niko gadoo

kasie vs le mutuz

ha ha ha ha ha ha
 
Nipigie..., mpenz wangu nipigie,.....(akirudi ndo itakua hivi....practical application of your signature)

He should stay tuned not me,Kasie mla ujana, crush lady, full kujiachia club. Akija atakuta manyoya mie haniwezi tena.
 
Hahahaaa enzi za lile kundi la Tambaza na hip hop sikumbuki nyimbo zao, ila hapa akilini video inanijia kabisaa.
Hip hop horey hoo hey hoo.... nakumbuka hapo wavulana chini buti, suruali ya jeans mlegezo kiaina na tshirt na vile vitambaa flan hv vya square vimefungwa kichwani au kinaning'inia mfuko wa nyuma weeh...
Unaikumbuka lakini hip hop hooray wewe?

Ngoja nikukumbushe basi kidogo....

I live and die for Hip Hop
This is Hip Hop for today
I give props to Hip Hop so Hip Hop hooray...
Ho...Hey...Ho...hey..hoo...heeey
 
It happens once in my life wakati niko chuo. Mimba ikanasa halaf jamaa akasepa. Sijisifii nakiri dhambi hii nilitoa mimba ile, niliumia nikamaliza chuo na kuanza kazi, since then mtu akija na kusepa whai hata sishtuki, nasonga na crush nyingine inakuja na kuja na kuja. Hii ni reason ya Kasie yuko hv leo. Basi hapo mwisho,fullstop
Kuachwa kuachwa,kuachwa wakti ambao hujatarajia ni kubaya lazima tu uwe chizi uliyependeza na unakuwa na kauli za sungura,sizitaki mbichi hizi.....
 
Yeah tuition yake ilikuwa inajaa utasema darasa. Kuna mwalimu wa primary pia alinifundisha, mwl Ndossi enzi hizo daah
kasindeeee, mie umenikumbusha mwalimu wangu wa physics form two Mr Mkichwe baaasi.
 
Mbona unashikwa na kigugumizi may be, may be... maneno mingi ya Kasie iko IVO she is talkative...

Not true....unaonekana mzuri wa maneno tu bt not action....watu wa vtendo hawana maneno meng kuj-prove!!bt haya mawazo yangu may be upo kaunadai,may be....
 
Mbona unashikwa na kigugumizi may be, may be... maneno mingi ya Kasie iko IVO she is talkative...

Hahahaa...mbna hujiamini ivo mamie....ushaanza kujitetea et your talkative...nimekuuliza about that???jiamini mamie...
 
Enzi za mwinyi, i.e 1995 kurudi nyuma.. Wakati huo Dinazarde bado hajazaliwa.

Tukisema alimaliza Form 4 mwaka 1995 tuseme akiwa na miaka 16 basi uwezekano ni kuwa alizaliwa mwaka 1979 au kabla.

Bado anakula ujana eti!!

Mimi bibi yakoo oooho
 
Last edited by a moderator:
Wait a minute, r u the guy of the story!?? Mbona macho yamekutoka pima kuusemea moyo wa kijana mnato aliye Dubai? If its u, pole Kasie is no longer available, very busy kusuka hela na kula ujana.

THOMAS...!! kwa mwandawazimu kaingiaje, oooh kitorondoo.... imekula kwako, kama si wewe mpelekee salamu.

ahahahahaha, mie hapo tu unaponikosha Kasinde.
Yaani unasema unachojisikia as long as it makes u happy.
IVO YAANI
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom