Fahari wawili hawakai zizi moja

Fahari wawili hawakai zizi moja

Maisha yenyewe mafupi, acheni mi nile ujana. Wananiita popo nakesha nakula ujana. Sili cha mtu, siibi cha mtu. Its me myself and I. Ukiona nakuboa na habari zangu, usisome kuna wanao kuwa na shauku kunisoma. Usiku mwema.

Regards,
Fahari Kasinde aka mnato lady, mamaa maringo na kujiskia ndo mie.
 
....tatizo liko hapo bold tu. Kwa umri ulosema wewe sio kijana tena, unakula "u middle age" nadhani...teeh!
....naona umeshindwa kuhimili vijembe vya wadau leo..!!
 
zanaki na tambaza weweee....enzi hizo tambazana...minaki labda kisarawe tu mlikuwa mnacheza nao disco kwanza zanaki wenyewe day hilo disko mtawapatia wapi?? sisi tulikuwa tukitoka shule lazima tupite zanaki

walikua wanatufata kwa magari mi pia nimefika minaki na pugu kwenye disco ila mi kipindi cha kikwete
 
kasie atakuwa muajiliwa wa jf. Asante kwa kujaza server na kunogesha jamvi la MMU
 
Last edited by a moderator:
ok ulikuwa chini ya mwl mramba au?
Mkichwe alifariki bwana, na nasikia wanafunzi ndiyo walimuua.

ilikuwaje mkuu.
Alikuwa mwalimu wangu jangwani girls.
Wanafunzi walimuua kivipi?
 
Maisha yenyewe mafupi, acheni mi nile ujana. Wananiita popo nakesha nakula ujana. Sili cha mtu, siibi cha mtu. Its me myself and I. Ukiona nakuboa na habari zangu, usisome kuna wanao kuwa na shauku kunisoma. Usiku mwema.

Regards,
Fahari Kasinde aka mnato lady, mamaa maringo na kujiskia ndo mie.

Kuna watu wana mbwembwe ni noma😝
 
Kasinde Jangwani ulimaliza lini? maana na mm nilisoma Tution kwa mwalimu mkichwe (RIP) .umenikumbusha mbali sana , maana tulikuwa tukitoka pale siku ya jumamosi tunasoma na wavulana wa Azania.

wewe umesoma mwaka gani jangwani?
Mie alinifundisha form two class.
Halafu tuition form IV practicles.
Maskini Mr Mkichwe(RIP)
 
Let me ask u like Kansiime now, r u the sterling of the story or Kasinde? And who is the author?
Wananiita popo, nakesha nakula ujana... niko fit kamili gado full kula ujana. katika vijembe hizo kwoti za hapo juu nazo ni vijembe? Kumbe hujui vijembe eehh, just google maneno ya vijembe utayapata.

....tatizo liko hapo bold tu. Kwa umri ulosema wewe sio kijana tena, unakula "u middle age" nadhani...teeh!
....naona umeshindwa kuhimili vijembe vya wadau leo..!!
 
Hahahahahaaa mbwembwe watu wanazaliwa nazo, IVO

Sasa dada Kasinde...hizi mbwembwe za staili hii wanafanya wasichana wa kidato cha pili au cha tatu,sasa imagine anazifanya msichana wa 40 years old!!!!!😳

There is something seriously wrong somewhere Kasinde!!!!
 
Sasa dada Kasinde...hizi mbwembwe za staili hii wanafanya wasichana wa kidato cha pili au cha tatu,sasa imagine anazifanya msichana wa 40 years old!!!!!

There is something seriously wrong somewhere Kasinde!!!!

Hahahahahahahahhaa raha jipe mwenyewe ukingoja kupewa utasubiri sana. Labda nikuibie siri moja ya Kasie, Kasinde bana up to 25yrs backward was a good girl, innocent one, very obidient, mpole, adabu zote mia, goti la kinyamwezi hadi chini anaposalimia. And she was in a relationship ambayo ilimfanya ageuke na kuwa Kasie huyu wa leo. You know what, she is living today and the life she lost while she was not enjoying life like club goer, dancing and kujirusha kwa sana. IVO.
Sio wewe tuu unaeshangaa, walishangaa familia wakafanya kila waliloweza wakachemsha na wakaweka mikono juu, wanashangaa compound ninayoishi kwenye apartments ninazokaa, wanashangaa watu ninaofanya nao kazi, yaani wanashindwa kunisoma. Ninachowajibu, nakula ujana............. wanabaki whaaaat!!!! mie yuleeeeeeeee
 
Kasinde wee oooh kasindee weee...! Siku uliyondokaa nilibaki nalia machozi... sipati usingizi nikikukumbuka ...... aaah wa moyoo...
 
Hahahahahahahahhaa raha jipe mwenyewe ukingoja kupewa utasubiri sana. Labda nikuibie siri moja ya Kasie, Kasinde bana up to 25yrs backward was a good girl, innocent one, very obidient, mpole, adabu zote mia, goti la kinyamwezi hadi chini anaposalimia. And she was in a relationship ambayo ilimfanya ageuke na kuwa Kasie huyu wa leo. You know what, she is living today and the life she lost while she was not enjoying life like club goer, dancing and kujirusha kwa sana. IVO.
Sio wewe tuu unaeshangaa, walishangaa familia wakafanya kila waliloweza wakachemsha na wakaweka mikono juu, wanashangaa compound ninayoishi kwenye apartments ninazokaa, wanashangaa watu ninaofanya nao kazi, yaani wanashindwa kunisoma. Ninachowajibu, nakula ujana............. wanabaki whaaaat!!!! mie yuleeeeeeeee

Hiyo sasa ndio tunasema kuna something wrong somewhere...utakuja ku-realize one...I like u with that,just do you!
 
Back
Top Bottom