Fahari wawili hawakai zizi moja

Fahari wawili hawakai zizi moja

Enzi za mwinyi, i.e 1995 kurudi nyuma.. Wakati huo Dinazarde bado hajazaliwa.

Tukisema alimaliza Form 4 mwaka 1995 tuseme akiwa na miaka 16 basi uwezekano ni kuwa alizaliwa mwaka 1979 au kabla.

Bado anakula ujana eti!!
Miaka hiyo ni wachache walimaliza o-level na 16. Wengi walichelewa kuanza shule. Class yetu primary wengi walianza wakiwa 10yrs. Ni watoto wa kishua tu ndio walipelekwa shule wakiwa 6yrs manake hao angalau walimaliza o-level wakiwa 16-17yrs.
 
Last edited by a moderator:
Hapo sawa, we haupo mbali kumbe. Mwaka wa mwisho wa Mwinyi ndo wengine tunaanza o-level. Kula ujana kabla mvi hazijaota sista..!

Mvi ninazo toka niko darasa la 3, wala sio issue kwangu na wala sizipaki piko, tena ziko mbele upenuni ukiniangaia tuu unaziona na wala hazinisumbui, its me, ni zangu. IVO
 
naona mnamshikia bango ngoja nimsaidie....kama umesoma vizuri kasema kasoma wakati wa mwinyi ndio kakutana na huyo jamaa, wakapoteana kila mtu kimaisha then wakagongana harusini washakuwa watu wazima wakabadilshana namba baadae kidogo jamaa akaenda dubai that was 2012 whatsapp ilikuwepo i guess.
RRONDO nimekupata , hapo kwenye red mawazo yangu yamehamia kwingine.
 
Last edited by a moderator:
Moja ya comment zako umesema unakaribia 40yrz!!!ni ujana uo unakula au....arebabaaa unamaneno mingiii its y nna mashaka na kujiamin kwako....just that nothing personal

Yeah its true am nearly in my early forties, that is fact, ninaposema nakula ujana ni kuwa am living youth life, age inasonga kila inapopit siku, iko siku ntakuwa kigagula hapo sitaweza kula ujana. So this is the right time for me kusakata mayenu and am enjoying. Wewe unafikiri kula ujana ni kuwa na miaka 20 au 18??? Kwa umri huo nilikuwa bado himaya ya wazazi na sikuwa naingiza pesa, hata nilipoanza kuingiza pesa nilizichanga kwanza kiasi cha kuweza kuhimili maisha bila kumtegemea mtu, na sasa sina majukumu zaidi ya mwili wangu, kujilisha, kujivisha na kustarehe na hapo ndo nakula ujana kwa kwenda mbele night club kwa sana, mziki kwa sana... IVO. 100!!
Endelea kuwa na mashaka hivohivo hadi uzee wako.
 
Wanaume wanapenda sanaaaaaa kubembelezwa! Acha kabisa! Mda mwingine hakutafuti tuuuuu ili akupime utafanyaje! Au anakupumzisha tu bench hamna mawasiliano ili tu urudi crawling to his feet! Nyoooooooo! Hapo ndo ule usemi USIACHE MBACHA KWA MSALA UPITAO una kazi muhimu. Akianza drama mimi na Ze Zomby aaaah tunasahaulishana machungu. Ila kama huna walau mazombi ma 2 au 3 lazima ukamlmbe makalio! Usiku haukuchi unless huo usiku uko kwnye viti virefu na Zomby!
scary-smiley-screaming-emoticon.gif
Moyoni unamwambia yule looser
kissmyass.gif

Nakuambia wanaume, wanapendaga sana kubembelezwa yaani kama uko ktk ndoa ubembeleze mtoto alafu baba yaani mimi choka kabisa.
 
Miaka ya 90 Watoto wa Shaaban Robert a.k.a kina kaka mnato walikua wanasoma tuition???

haswaaaaaaaa, weye hukusoma enzi hizo? tuition imeanza long kitambo ujue, mie tangu primary naambiwa nenda tuition na ndo ulikuwa msamiati wa kwanza kwenye kujifunza kingereza.
 
Mvi ninazo toka niko darasa la 3, wala sio issue kwangu na wala sizipaki piko, tena ziko mbele upenuni ukiniangaia tuu unaziona na wala hazinisumbui, its me, ni zangu. IVO
Tuko kwenye mazungumzo tu sista, huna haja ya kuchukulia mambo personal.
 
naona mnamshikia bango ngoja nimsaidie....kama umesoma vizuri kasema kasoma wakati wa mwinyi ndio kakutana na huyo jamaa, wakapoteana kila mtu kimaisha then wakagongana harusini washakuwa watu wazima wakabadilshana namba baadae kidogo jamaa akaenda dubai that was 2012 whatsapp ilikuwepo i guess.

Thank you very much, mercie
 
Yeah its true am nearly in my early forties, that is fact, ninaposema nakula ujana ni kuwa am living youth life, age inasonga kila inapopit siku, iko siku ntakuwa kigagula hapo sitaweza kula ujana. So this is the right time for me kusakata mayenu and am enjoying. Wewe unafikiri kula ujana ni kuwa na miaka 20 au 18??? Kwa umri huo nilikuwa bado himaya ya wazazi na sikuwa naingiza pesa, hata nilipoanza kuingiza pesa nilizichanga kwanza kiasi cha kuweza kuhimili maisha bila kumtegemea mtu, na sasa sina majukumu zaidi ya mwili wangu, kujilisha, kujivisha na kustarehe na hapo ndo nakula ujana kwa kwenda mbele night club kwa sana, mziki kwa sana... IVO. 100!!
Endelea kuwa na mashaka hivohivo hadi uzee wako.

Hahahaa....your life,your rules chalo!bt from your post umeumia sana moyoni sycologicaly umekata tamaa na kupendwa ushaona it is imposible so bora uishi ivo....mtu akikupenda hawez kuletea mapoz...hujawah pendwa wewe
 
Duuuuu hajui hatakudanganya eti what's sap kipindi ya miwinyi
 
Duuuuu hajui hatakudanganya eti what's sap kipindi ya miwinyi

hata mimi nimeliona hilo mkuu lakn nkasema labda amemaliza juzi juzi maana jf ni la rika lote na siku hizi simu ni basic need mkuu
 
ndio. nimesoma secondary mid-late 90s na nimesoma tuition na watoto wa shabaan robert na mzizima wengi tu....kama ushasikia tuition kwa machagga au mkandawire

Kula 5 kamanda, huko kwa mkandawire utakuwa ulisoma na kaka zangu tuition, mie huko sikusoma nilibadili mchepuo nilipoingia A level.
 
Hahahaa....your life,your rules chalo!bt from your post umeumia sana moyoni sycologicaly umekata tamaa na kupendwa ushaona it is imposible so bora uishi ivo....mtu akikupenda hawez kuletea mapoz...hujawah pendwa wewe

wakati huo mie ndo nilipenda, sikupendwa na hao wa wakati huo ndo wamefanya wanaonipenda sasa mie nawachukulia poa tuu wala mshipa wa msisimko hausimami hata aniambie kwa kichina ILU, hivyo mie siumii wala sipotezi muda kuwaza madugude hayo sana sana wanaonipenda ndo wanaumia vile mie nawatreat na wakisepa wanashangaa kesho niko club kama kawa na nikitaka kupigwa puli napata kama kawa.
Thats my life, my rules. Kazini, club, mziki, home. likizo fyuuuuuuu kujirusha. IVO
 
Enzi za mwinyi, i.e 1995 kurudi nyuma.. Wakati huo Dinazarde bado hajazaliwa.

Tukisema alimaliza Form 4 mwaka 1995 tuseme akiwa na miaka 16 basi uwezekano ni kuwa alizaliwa mwaka 1979 au kabla.

Bado anakula ujana eti!!

Endelea kushangaa hivohivo. Kasinde as usual nakula ujana, wananiita popo nakesha nakula ujana woyowooo woyowoyowoyo..............
IGA UAIBIKE!!!
 
Back
Top Bottom