yah,,najua unamaanisha Zanaki...ila mimi nimemaanisha girls wa Zanaki walikua
wanacheza disco na boys wa Minaki
wanacheza disco na boys wa Minaki
Zanaki not Minaki
Zanaki not Minaki
Nimesoma mara tatu bado sijaelewa umeuliza swali, umeelezea tuu, au umeandika..........😕
Hawa ni wazee wanaokula ujana
Akuuuu mie najijua menyewe, kwanza wewe ni fahari? kama ndio bora tuu usije, ila kama sio fahari ok, but............
Mmmmmh Kasinde atakuwa Ana mvi huko chini
Soma between the lines utaelewa!Duuuuu hajui hatakudanganya eti what's sap kipindi ya miwinyi
Kasie...
Kama kusoma na kuelewa huwezi, katizame picha yako ya sasa uilinganishe na ya wakati huo, utaelewa.
Hahahahaaaa weeweee, it wont happen nah!!
utalainika tuuuuu...ngoja akuje na $$$$$ za kutosha akakurushe roho viwanja ndo
utajua kuwa yeye ni ME na wewe ni KE
Hahahahahaaaa kwa taarifa fupi tuu, sinunuliwi kwa dolari mie, u better find a chance to talk to me nicely waweza nipata ila ukija na material things, money, dollar hooo umekosa mwana na maji ya moto.
Kupeleka ujumbe kwa mlengwa si kuiandika tuu msg na kubonyeza kitufe cha sent, kuhakiki kuwa ujumbe wako utawafikia walengwa kwa ulichomaanisha huko nd kupeleka ujumbe. U need to revise ur communication skills notes.
yah,,najua unamaanisha Zanaki...ila mimi nimemaanisha girls wa Zanaki walikua
wanacheza disco na boys wa Minaki
Enzi za mwinyi kulikuwa na Whatsapp eti wakuu?? ama mimi ndio sijaelewa?