Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
- Thread starter
- #201
Kwa kawaida simba hukwea miti kutokana na mazingira wanayoishi mfano simba wa manyara hukwea miti ili waweze kuona vizuri wanyama Wakuwawinda kutokana na ile hifadhi kuwa na maeneo mengi ambayo ni forest. Kwa hiyo kwa namna moja au nyingine mazingira husababisha baadhi ya simba kukwea mitimm bado nahitaji kujua elimu zaidi ya simba inakuwaje simba wa buga za selegeti anapanda kwenye miti huku wale wa poli la akiba selou awapandi juu ebu nijuze mkuu