proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,353
Na Hawa wasanii wetu wanaojiita Masimba na wao wana uwezo wa kugegeda kila baada ya dak 7?Sasa hapo kwenye kugegeda ndio amenimaliza........yaani anagegeda kila baada ya dakika saba duuuuuh
Na Hawa wasanii wetu wanaojiita Masimba na wao wana uwezo wa kugegeda kila baada ya dak 7?Sasa hapo kwenye kugegeda ndio amenimaliza........yaani anagegeda kila baada ya dakika saba duuuuuh
Na huwa anawagegeda Hawa ndara wanapopita jirani yake kila baada ya dak 7 endapo atachezea shalubu.Kingine ni kwamba simba hua hapendi dharau za kuchekewa chekewa kutaniwa
anakula kilo 15 baada ya hapo anapumzika kuwinda lakini hii haimaanishi kwamba nyumbu wanaweza kupita mbele yake akawaacha.
Je wajua ni kwanini simba jike anajitenga pale anapokaribia kuzaa na kwenda mafichoni kipindi cha miezi mitatu na anaporudi lazima awatambulishe watoto kwa mzee Wa familia na kinakuwa kipindi kigumu kwa familia zima kwani mzee akiwakataa watoto anawauwa.sababu kubwa ni hii.na ndio msingi mkubwa sana wasimba jike kwenda mafichoni.simba jike anakuwa na chuchu za matiti nne tuu.sasa kama unakumbuka simba wananyonyesha watoto Wa simba yoyote jike Wa ile familia yao sasa kama akijifungulia pale kwenye familia basi watoto wake watakufa kwa njaa maana hawana uwezo mkubwa wakunyonya maziwa ya mama yao kwakuwa wale wengine wameshakuwa wakubwa kuliko wao na watanyonya wakubwa tuu.hapo mama analazimika kuondoka tuu ilikulinda afya za watoto wake.sababu ndogo ndogo ni kwa kuogopa wasiumie kwenye familia.magonjwa ya milipuko.
Simba kofi lake ni kilo50
Simba ni mnyama mwenye aibu kupindukia hawez kukuangalia usoni.
Pride kubwa duniani iko serengeti ina simba karibu 45 wanaishi pamoja.
Simba wakiwa wanakula hawana uchoyo hata simba jirani anaweza kupita hapo na kula bila bughuza.
Simba top speed yake 60-75 kph.
Simba dume hawindi sababu lizito.ukisikia simba kaingia kijijini anakula mifugo ni simba mzee au dhaifu aliefukuzwa na vijana ili aachie familia yake damu moto.simba dume akifika miaka2 anatakiwa akajitegemee aondoke ktk familia kabisa
Nashukuru mkuu kwa kunifahamisha vizuri sana na umeniongezea mnyama Puma asante, lakini nina swali,mimi nilivyokuwa najua mnyama Cheetah (duma) ndio mwenye spidi sana kuliko wote kumbe sio hivyo au sijakuelewa vizuri ??Awa wote ni jamii yapaka na wanatofautiana kwa mazingira yao
Tiger ndio paka wakubwa kuliko wote asa Wa siberian Tiger.wao wanamadoa makubwa makubwa sana kuliko Wa chui na cheeter.ndio wananguvu kubwa za mwili mzima kuliko paka wote.pia anauwezo mkubwa sana wakuogelea tofauti na paka wengine angalau jaguar nae anauwezo sio mkubwa kama Wa Tiger wakuogelea.Tiger wanawinda kwa ambush kali sana kama radi linavyopiga wanalingana na chui katika uindaji Wa ambush.Tiger ni mnyama anayeishi pekee kama chui juguar puma
Chui.aina yapaka yeye anamadoa doa madogo kama yacheeter ila wanatofautiana na cheeter kwa kuwa chui sio mrefu na mwembamba kama Cheeter na hiyo ndio tofauti yao kubwa sana.piachui anaishi mwenye ila kama anamtoto atamlea Bila ya baba tofauti na simba wao wanalea watoto wao kwa ukoo.chui ndio mnyama anayewinda kwa utulivu mkubwa kuliko wote mfano anaweza akawa anawinda mahali simba walipolala na akafanikiwa windo lake Bila ya kelele yoyote na simba wakajajua kama chui amaefanya yake baadaya ya windo kupandishwa juu ya mti na ile harufu ya damu ndio uwafanya simba kujua.chui ndio mnyama paka mwenye kubwa sana nguvu za miguu ya mbele kuliko wote kwani anauwezo wakupandisha Mara mbili juu ya mti uzito Wa windo lake.pia chui uwinda kama solo hunter kama tiger puma
Cheeter naongezea nilishamgusia juu.ndio paka mwenye speed kuliko paka wote na wanyama wote Wa nchi kavu cheteer ndie paka dhaifu kuliko wote.anapokuwa anakimbiza windo lake analikimbiza kwa muda maalumu kwani asipofanya hivyo anapata madhara yafuatayo 1.moyo kupasuka.2.calories zake kila anapofanya windo na kulikosa windo zinapongua sasa akizimaliza ndio mwisho Wa maisha yake.cheeter ndie mnyama ambaye anapofanikiwa kulipata windo anakula haraka ndani ya dakika 20 ili anapovamiwa na fisi.simba awe amekula angalau kumbuka fisi mmoja anauwezo mkubwa wakpambana na kumfukuza cheeter au chui kwenye mawindo yao.
Juguar ni chui Mweusi Wa amerika ya kusini sifa zake kama za chui wakawaida sema yeye anauwezo wakuogelea.
Puma ni simba Wa amerika ya kusini anayepatikana katika milima ya Andes sifa zake tofauti na simba Wa Afrika kwani ni solo hunter yeye.pia mdogo kiumbo kwa kuwa anapatikana kwenye baridi na anakaa milimani tuu.pia kuonekana kwake ni nadra sana sana inaweza kukuchukua muda mrefu kumuona na ndio maana wataalamu wanategesha kamare tuuu ili kujua kama yupo.
Je wajua kuwa simba dume mmoja akiwa anavamia na wenzake madume mfano matatu kabla ya kukutana nakupigana wanapeana vitisho vya mngurumo na endapo yule mmoja anayevamia akatoa mkali zaidi ya wale wanaokuja watatu wale watatu wanaghairi kuja wanajua mwezao ni mkali na ananguvu kubwa kuliko wao.pia simba dume anapovamia na wenzake na mfano wawili na kuendelea simba jike wale Wa yule anayevamia wanaweza kuamua kumsaidia dume au kutomsaidia.kwanini wanamsaidia kupigana.kama kuna watoto wadogo ambao wameshakua na wanajua akishindwa dume basi watoto wao watauliwa pia wanamsaidia kama yule dume ameishi kwa upendo mkubwa na wale wanaweke na kwanini simba majike yanpoamua kutomsaidia mwanaume pindi wanapovamia kwasababu dume limezeeka kwao kuna kuwa hakuna ulinzi wakuaminika kwa ajili ya watoto wao na mji wao pia simba jike wanapenda kupandwa na simba mwenye uwezo bora na nguvu ili kutoa watoto bora.pia je mnajua kuwa kila simba wanakaya zao ambazo daima zinatengenishwa na kwa kuweka alama ya mikojo ya simba dume ambao ndio walinzi wakuu wafamilia.je wajua kuwa ikitokea kwa simba majike yakavuka mpaka Wa kwenda kuwinda na watoto zao na wakakumbana na masimba jike wakaya nyingine ambao ndio eneo lao wale waliovamia atakama wako wengi wanakimbiasana na ikitokea walikwenda na watoto wao wanawaacha nyuma na wale waliowafumania kama wale watoto wakiwa wadogo sana hawahui na watawaacha mpaka mama yao atakapowaita kwa mlio maalumu.
Kiingereza gani hiki?
I' m so interesting, marvelous story...big up Steve mushi & midumare Iwato
I think hapo kwenye kugegeda huwa ni kazi maalumu.Mkuu mbona unatuchanganya? Unasema Simba hulala saa 16 na kuwinda kwa saa 8 halafu hapo hapo unasema akiwa honeymoon hugegeda kila baada ya dakika 7
Sasa vipi atagegeda kila baada ya dakika 7 na yeye 16 hrs huwa amelala tuu? Au kwenye honeymoon huwa halali kwa 16 hrs?
Mkuu unatisha. Heshima kwakoSimba jike aliyekomaa kuzaa anaishi katika familia yao kumbuka madume yanakuja nakuondoka ila majike daima wanabaki na koo yao daima wao wanaishi kama mabibi.mama.shangazi.mabinamu katika kaya yao pia kukumbusha tena ikitokea mwezao mmoja anakaribia kufa wanajua kuwa mwezao haponi na wale Wa umri wake wanamsindikiza safari yake ya mwisho na wanamuacha wanaondoka zao
Heshima kwako kakaAwa wote ni jamii yapaka na wanatofautiana kwa mazingira yao
Tiger ndio paka wakubwa kuliko wote asa Wa siberian Tiger.wao wanamadoa makubwa makubwa sana kuliko Wa chui na cheeter.ndio wananguvu kubwa za mwili mzima kuliko paka wote.pia anauwezo mkubwa sana wakuogelea tofauti na paka wengine angalau jaguar nae anauwezo sio mkubwa kama Wa Tiger wakuogelea.Tiger wanawinda kwa ambush kali sana kama radi linavyopiga wanalingana na chui katika uindaji Wa ambush.Tiger ni mnyama anayeishi pekee kama chui juguar puma
Chui.aina yapaka yeye anamadoa doa madogo kama yacheeter ila wanatofautiana na cheeter kwa kuwa chui sio mrefu na mwembamba kama Cheeter na hiyo ndio tofauti yao kubwa sana.piachui anaishi mwenye ila kama anamtoto atamlea Bila ya baba tofauti na simba wao wanalea watoto wao kwa ukoo.chui ndio mnyama anayewinda kwa utulivu mkubwa kuliko wote mfano anaweza akawa anawinda mahali simba walipolala na akafanikiwa windo lake Bila ya kelele yoyote na simba wakajajua kama chui amaefanya yake baadaya ya windo kupandishwa juu ya mti na ile harufu ya damu ndio uwafanya simba kujua.chui ndio mnyama paka mwenye kubwa sana nguvu za miguu ya mbele kuliko wote kwani anauwezo wakupandisha Mara mbili juu ya mti uzito Wa windo lake.pia chui uwinda kama solo hunter kama tiger puma
Cheeter naongezea nilishamgusia juu.ndio paka mwenye speed kuliko paka wote na wanyama wote Wa nchi kavu cheteer ndie paka dhaifu kuliko wote.anapokuwa anakimbiza windo lake analikimbiza kwa muda maalumu kwani asipofanya hivyo anapata madhara yafuatayo 1.moyo kupasuka.2.calories zake kila anapofanya windo na kulikosa windo zinapongua sasa akizimaliza ndio mwisho Wa maisha yake.cheeter ndie mnyama ambaye anapofanikiwa kulipata windo anakula haraka ndani ya dakika 20 ili anapovamiwa na fisi.simba awe amekula angalau kumbuka fisi mmoja anauwezo mkubwa wakpambana na kumfukuza cheeter au chui kwenye mawindo yao.
Juguar ni chui Mweusi Wa amerika ya kusini sifa zake kama za chui wakawaida sema yeye anauwezo wakuogelea.
Puma ni simba Wa amerika ya kusini anayepatikana katika milima ya Andes sifa zake tofauti na simba Wa Afrika kwani ni solo hunter yeye.pia mdogo kiumbo kwa kuwa anapatikana kwenye baridi na anakaa milimani tuu.pia kuonekana kwake ni nadra sana sana inaweza kukuchukua muda mrefu kumuona na ndio maana wataalamu wanategesha kamare tuuu ili kujua kama yupo.
Kumbuka wanyama awafanya ngono kwa starehe kama sisi.wao mpaka wanawake wapate joto la kushika mimba na dume anapewa taarifa na jike kwa ishara zao maalumuMkuu:
Hivi kwenye pride hapo utakuta kuna familia nzima ( bibi,shangazi,Mama etc..) na baadhi wana uwezo wa kuzaa.
Je Simba dume anapokuja atakutana nao wote au atamchagua mmoja na hao wengine watahudumiwa vipi.
Je kwenye pride moja kuna uwezekano wa kuwa na madume zaidi ya mmoja?.
Sasa hapo kwenye kugegeda ndio amenimaliza........yaani anagegeda kila baada ya dakika saba duuuuuh
.. Nani kakuambia simba hagegedi kwa starehe...? Ukitaka kujua ni kwa nini wanapeana mambo kila dakika cheki hapo.. We huoni hadi dume anafunga macho sababu ya kitu tamuuuuu...tatizo hagegedi kwa starehe.... najiuliza hizo mara zote sasa za nini?
Ahahaha duuh mkuu mbavu zangu kwahiyo hapo dume ndo katabasam au vip lol!View attachment 380230
.. Nani kakuambia simba hagegedi kwa starehe...? Ukitaka kujua ni kwa nini wanapeana mambo kila dakika cheki hapo.. We huoni hadi dume anafunga macho sababu ya kitu tamuuuuu...