Fahamu undani wa mnyama simba

Fahamu undani wa mnyama simba

TBC wangekua na mawazo chanya wangeandaa vipindi vya kuzungumzia wanyama asee

Hongereni Sana Wakuu muna tupatia Ilimu
 
Mnapaswa kujua simba ndio paka wanaoishi kwa ushirikiana wana akili za ziada sana sana kuliko unavifikiri.wanapokwenda kumtafuna tembo wanajipanga sana na inakuwa usiku wanawatenganisha mama zao na watoto wao ndipo wanafanikiwa kumchukua mtoto.tembo night vision yao ni dhaifu sana kuliko simba anayeona zaidi ya Mara nane ya tembo usiku sasa pata picha wewe binadamu unatembea kwa msaada Wa mwanga Wa torch yeye simba hana tatizo hilo kbsa
Kundi Lao Linaitwa Simba wadadisi!!
 
Kaka nimemwelewa sana kulingana na uwezo wangu pamoja na kutumia nguvu zangu binafsi, hofu zangu zilikuwa kwa watu kama wewe,
Wakati unaonekana kabisa kua ww ni slow learner
 
Hivi mtu mzima na mapumbu yake kwenye huu Uzi wenye kuelimisha eti analeta story za ooh hao watakuwa simba wa Lumumba Mara simba diamond mbona analea watoto sio wake?! ...like seriously unatype uharo kama huu, na ndio maana mnaoandika upuuzi huu hampati hata like , coz ni vichwa box...nawasilisha
Sio wenye kende tu mkuu hata wale wengine wanaandika
 
Simba dume kiboko... Khaa...!!!..
Hanaga mambo ya kupenda boga na uwa lake....
 
Ila binafsi kutokana navyofuatilia sana NAT GEO...simba ana akili sana kuliko hata binadamu...manake binadamu anatombana tu, mwishowe anapata ukimwi anakufa ndo starehe yake...while simba ni for purposely ( kuongeza uzao)
Daaa we jamaa nimejikuta nacheka tuu .....kipimo cha simba kumzidi binadamu akili ni hicho ....hahahaha
 
Ndugu wanyama wanaokula nyama daima hawali nyama ya wanaokula nyama huwezi mkuta simba anamla chui.ndege wale wanaokula mizoga ndio wanaokula wanyama wanaokula nyama tuuu.
Mbona binadamu tunakula nyama ila simba ,chui akikukuta anakukula(sorry) ....au kwakuwa binadamu tunapika kwanza
 
Kumbuka sisi tunakula nyama na man a no na wapo wanaokula nyama tuu na wanaukula majani tuu sasa wanaokula nyama hawalani daima
 
Nipe mbinu za kukabiliana na Simba Ana kwa Ana!,maana shughili zangu Ni msituni?,Ni mbio,kupanda juu ya mti au kupigana nae?...
 
Nipe mbinu za kukabiliana na Simba Ana kwa Ana!,maana shughili zangu Ni msituni?,Ni mbio,kupanda juu ya mti au kupigana nae?...
Hata moi et .. I need 2 kno this ...tupeni tips jinsi ya kukabiliana na simba ana kwa ana..
 
Simba ana maamuzi magumu!
Tofauti na binadamu yeye hawezi kabisa kulea familia isiyo yake.
 
Back
Top Bottom