Fahamu undani wa mnyama simba

Fahamu undani wa mnyama simba

Simba wanapouwa mnyama mkubwa sio kwamba wanamla mlo mmoja inaweza ikawa week nzima wanamla kumbuka kitendo cha kuwinda kinatumia ufundi mkubwa na ni hatarishi kwao ukiumia ni hatari.pia simba wanawinda kwa mpangilio sio kila jike anauwezo wakuwinda hapana wale simba majike ambao ndio wakubwa na wadhoefu ndio wanaongoza.ukifuatlia katika uwindaji wao utawaona baadhi ya simba wamekaa pembeni ingawa wanaonekana wakubwa
 
Wakuu inakuwaje simba hamli fisi?maana huwa wanafatana kwenye mawindo,maana fisi wanaliwa hata na binadam,kuna kabila moja kanda ya kati inasemekana zamani fisi ilikuwa ni kitoweo kama mbuzi,sasa inakuwaje simba hali fisi?naomba kujua hii imekaaje wakuu.
Ndugu wanyama wanaokula nyama daima hawali nyama ya wanaokula nyama huwezi mkuta simba anamla chui.ndege wale wanaokula mizoga ndio wanaokula wanyama wanaokula nyama tuuu.
 
Simba kofi lake ni kilo50
Simba ni mnyama mwenye aibu kupindukia hawez kukuangalia usoni.
Pride kubwa duniani iko serengeti ina simba karibu 45 wanaishi pamoja.
Simba wakiwa wanakula hawana uchoyo hata simba jirani anaweza kupita hapo na kula bila bughuza.
Simba top speed yake 60-75 kph.
Simba dume hawindi sababu lizito.ukisikia simba kaingia kijijini anakula mifugo ni simba mzee au dhaifu aliefukuzwa na vijana ili aachie familia yake damu moto.simba dume akifika miaka2 anatakiwa akajitegemee aondoke ktk familia kabisa
Miaka miwil wakajitegemee....ila cmba wa dsm had miaka 50 anakaa kw shemej yk
 
Sasa sijajua kwani na Diamond Platinumz na yeye ana sifa hizi? Mbona wanamuita Simba
 
Hivi mtu mzima na mapumbu yake kwenye huu Uzi wenye kuelimisha eti analeta story za ooh hao watakuwa simba wa Lumumba Mara simba diamond mbona analea watoto sio wake?! ...like seriously unatype uharo kama huu, na ndio maana mnaoandika upuuzi huu hampati hata like , coz ni vichwa box...nawasilisha
 
Tumeshawai kujiuliza kwanini masimba jike ni wengi kuliko masimba dume.fikiria katika simba dume 8.anayepona nakuwa na pride yake ni mmoja tu kwanini
1.vibali vya kuwinda.wawindaji wanapenda kuwinda simba dume kuliko jike ata wewe na Mimi kama napata kibali cha kuwinda simba utapenda kuliua dume tu.inakadiriwa kwa mwaka madume 700 yanawindwa Tanzania.Kenya.south Africa.botwasana na zambia
2.madume yanapofikisha miaka miwili yanafukunzwa na mababa zao katika familia zao yanakwenda kutangatanga mpaka kupata pride yao sasa kipindi hiki cha mpita kinaweza chukua muda mrefu mpaka miaka minne toka yalipofukunzwa kwao nikipindi kigumu kwao sana wanakutana na changamoto za sehemu za kuwinda kwahiyo chakula kwao shida sana kupelekea kufa.pia wanapigana nawezao waliofukunzwa wanakutana wengi wanakufa.wanapigwa nakuhuliwa na madume yenye miji yao yanapojaribu kuvamia kuchukua pride wanakufa.pia simba wengi wanaouliwa na binadamu ni madume yaliyofukunzwa kwao yanakuwa yanatangatanga mpaka yanafika kwa makazi ya watu wanauliwa.
 
Mane ni manywele yanayopatikana kwa simba dume yaliyopo shingoni.yakiwa meusi sana ndio dalili yakuwa simba huyo amekomaa.afya njema.na ananguvu kubwa sana kuliko mwenye kahawai na simba jike anampenda mwenye mane nyeusi sana kwakuwa ata uzao utakuwa bora sana.mane nikigezo kimojawapo kizuri kwa kutuma ujumbe kwa adui Wa simba dume ambae ni simba dume.pia mane niulinzi tosha kwa simba.ukiangalia vifo vingi wanavyopigana simba dume kwa dume sio wanaumizana kwenye uti Wa mgongo wao shingoni inakuwa ngumu sana
 
2016 - 1 (3).jpg
Like father like son
 
Back
Top Bottom