Fahamu undani wa mnyama simba

Mkuu mbona unatuchanganya? Unasema Simba hulala saa 16 na kuwinda kwa saa 8 halafu hapo hapo unasema akiwa honeymoon hugegeda kila baada ya dakika 7
Sasa vipi atagegeda kila baada ya dakika 7 na yeye 16 hrs huwa amelala tuu? Au kwenye honeymoon huwa halali kwa 16 hrs?
Wakiwa kwenye makundi kwa kwaida hulala kwa saa 16 ila wakiwa honey moon hutumia mda mwingi kutafuta watoto
 
kuna simba flani ni weupe. mwili mzima wanaitwa white lion.hawa wanapatikana wapi ndugu mtoa mada
Ni kweli mkuu hawa white lion wana undugu na hawa simba wa kawaida isipokuwa wao wanakuwa weupe kutokana na huzaliwa na gene nyingi sinazosababisha albinism na hawa white lion hawana uwezo wa kuishi porini kama hawa simba wa kawaida wao huhifadhiwa kwenye vigala vya kuhifadhia wanyama pori (zoo ) na hasa hasa wanapatikana kwenye zoo katika nchi za Africa kusini, Austria na nchini Serbia kwa hiyo ukibahatika kutembelea moja kati ya hizi nchi hao White lion utawaona. Picha ninazo ila bado sijafahamu namna ya kuziweka kwenye sehemu comment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom