Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Hiyo ni imani ya mtu na mtu. Wengine wanaamini Limbwata lipo na wengine hawaamini. Mimi naamini hakuna limbwata ila penzi likikukolea basi ndugu, jamaa na hata marafiki wanaweza kudhani umelishwa vya kulishwa kumbe ni penzi tu moto moto lililokukolea kisawa sawa.

YouTube - DONNA SUMMER SINGING I 'AM FREE
 
watu wanahangaika bure kuwapa wenzao kansa za matumbo kwa kuwalisha manyama yao walofutika sehemu za siri wakati limbwata ukolezo wako tu ukichanganya na ulimi laini jamaa kwisha khabar yake:rip:
 
Maeneo ya Korogwe- Tanga wanakuwekea kamavi kwenye msosi. Mohamed Shossi anajua
 
Embu tujuze mwaya ina laza gani
starehe yake
madhara yake
na je kama siijui ntajuaje nimelishwa limbwata

merry xmass n happy new yr
 
lina ladha ya limao
ni raha sana
maana unakuwa bushoke wa hiari
 
Itakuwa ngumu kumpata mtu wakukwambia ladha yake kwasababu mlishwaji hajui kama kalishwa hilo limbwata...na kwahivyo mambo mengi atayafanya bila kujijua,yeye atajikuta tu anampenda sana mkewe au girlfriend wake...thats ol!
 
Limbwata tamu sana tu kwa anayelishwa.....tatizo ni kwa ndugu na marafiki wanaomzunguka, na hii ni kwa sababu hawajui raha anayopata aliyelishwa hilo limbwata!
 
Mara nyingi halina radha kwa maana ni physchological zaidi. (a woman plays with your mind) full stop.
 
ina ugwadu fulani, tamu, ina chumvi chumvi! hasa limbwata lililowekwa kwenye pusi kwa siku 7! ni tamuuuu
 
Ada ya mja hunena mwacha asili huwa jasiri, hii ni story nimeikuta kwamba ikionekana mwanaume ana mjali sana mkewe ikiwemo kupika, kuosha vyombo/watoto, etc basi ujue kalishwa dude liitwalo Limbwata...kama kuna mtu ana ushahidi wa jinsi alivyolishwa atujuze turudie asili jamani
 
kuna iliwhi kutaarifiwa kwamba habari kuhusu msichana wa miaka 25 Shanita Nalukenge (Mganda) na a married businessman David Greenhalgh (England) ambapo inasemekana kuwa David amemfikisha Shanita mahakamani after Shanita kumtapeli David 7.8 Billion Tsh. Na wanasema jamaa alipewa limbwata na the lady ndo maana akawa hafurukuti na kummwagia Shanita mihela kisawasawa zikiwemo Pound 400,000 aliyompa siku ya birthday yake! David kamind sanaaaaa ila anasema hamind kuwa Shanita aliiba hela yake na kuitumia vibaya bali kuwa she was spending his money na vijana wadogo ambayo walikua wanamtukana! Mbona kama jamaaa ana wivu tuu..
 
Baada ya kusoma this story nikawa najiuliza Kuna ukweli gani kuhusu limbwata? Kuna mtu akanambia " weee unaona jinsi wanaume wa Kihaya walivyo wakorofi na wagumu lakini kwa wake zao kimya! Unajua sababu?" Mie kimya!!! Eti ni kweli?
Naambiwa kuna aina nyingi za limbwata - kuna Kaligoligo ambayo eti hii inavuka hadi bahari!! Hahhaahha! Mutaniua kwa kucheka!
Tuanze kwa kujiuliza - Limbwata ni nini? Limbwata ni dawa ya kumfanya mtu akupende zaidi - unakuwa husikii wala huelewi...
 
Kati ya Limbwata zilizopo, I heard kali zinatokea Bukoba. Eti kuna - Shuntama (Maana kwa Kiswahili - Inama) Kila utakachoambiwa utafanya! Eg - Mwanamke: Nifulie chupi zangu - Mume: Haya mpenzi. Mwanamke: Nipikie chapati - Mume: Haya La azizi ( Mume anapinda mugongo!! Hahahahahahahah!!! I'm sorry but this is too funny!! Khaa!! Hivi ya kweli haya? Haya naambiwa pia kuna - Genda Ogaruke (Yaani Nenda Urudi) - yaani utakwenda kisha ukifika huko utamkumbuka demu na utarudia.
Jinsi ya kutengeneza Genda Ogaruke siijui - Labda utufahimishe if you know.. But nimegusiwa jinsi ya kutengeneza Shuntama - Eti unachukua a piece of meat kisha unaweka in your private parts for 3 days - unaitoa wakati kwa kuoga au kujisaida kisha unairudishia. After 3 days unaitoa unaichanganya na nyama fresh na kuikaanga - kisha unampa bwana anakula. Baada ya hapo!!! Hahahahahahah!!!! Atafanya kila utakalona kukupa kila utakacho!!! Hahahahahahahaha! Jamani sorry nacheka sana leo... Nimefurahi tu...
 
anga - Limbwata - Unakwenda kwa mganga unamwambia shida yako... Anataengeneza some powder from Love herbs kisha unakuagiza upeleke some stuff zako au za huyo unayetaka akupende eg - kucha za toes and fingers, pubic hair au nywele za kawaida. Kisha anazifanyia Love spell akitaja jina la huyo umtakaye akupende. Unamuekea kwenye chakula then anatakiwa akupende na kukujali kupitiliza after that..

Hivi kweli Limbwata exists au hao wanaotengeneza they play with our psychology?
Niliona this article from - http://www.http//worldhotstars.blogspot.com nikaipenda sanaaaa...
 
Back
Top Bottom