Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Limbwata personality yako tu, kuna wanawake hawajawahi sikia na hawaamini katika imani za kishirikina na madawa ya kienyeji lakini wanapendwa (tena na wanaume zaidi ya mmoja) hadi wanakereka.
Girls be yourselves and work hard, mtapendwa zaidi ya huyo anayesemekana kumpa mtu limbwata.
Girls be yourselves and work hard, mtapendwa zaidi ya huyo anayesemekana kumpa mtu limbwata.