Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Laligeni nafunga ofisi kesho nitasoma utakavyokuwa umejibu wacha nikapumzike,jioni njema.
 
Kuna kitu anakitafuta kama sio kumchuna basi nikumlia visenti vyake tu.


Mmhhh Fidel80 nawe kwa hiyo basi hata na nyie basi huwa mnatuchuna kama ni hivyo ina maana ukimpenda jamaa ( kwa ile style ya kijinga anayosema Laligeni) kuna kitu unataka toka kwake?
 
hali ya kufanyiziwa madawa na mwanamke ili usisikie la mtu!, yani wewe hata nduguzo husaidii, sometime mpaka unafua, unakosha vyombo, unaenda kujenga ukweni, huna sauti ndani ya nyumba etc etc
 
Mmhhh Fidel80 nawe kwa hiyo basi hata na nyie basi huwa mnatuchuna kama ni hivyo ina maana ukimpenda jamaa ( kwa ile style ya kijinga anayosema Laligeni) kuna kitu unataka toka kwake?

Hivi nikichukua mlupo mpaka mjengo pesa iwa anatoa nani ya kulipia mjengo?
 
hali ya kufanyiziwa madawa na mwanamke ili usisikie la mtu!, yani wewe hata nduguzo husaidii, sometime mpaka unafua, unakosha vyombo, unaenda kujenga ukweni, huna sauti ndani ya nyumba etc etc

Mhhhh inauma sana tu wanawake wa design mmh hawafai kabisa.
 
Kufanyiwa dawa za kienyeji na mpenz wako ili umpende kupita kiasi, umsikilize yeye tu, na kumpa kila anachotaka, ukubali kila analosema hata kama ni libaya uwe mtu wa ndio tu.
 
Nenda tuition Tanga sehemu moja inaitwa Moa,huko watakufundisha maana ya limbwata!
 
Mara nyingine mtu akiishi maisha ya kujali familia unaambiwa amelishwa Limbwata aidha na Ndugu au Marafiki.

Consider the following, LIMBWATA facts

A) If LIMBWATA is to allow your wife to be a partner and participant informulating the family budget, then I support it, becoz women are wiser spenders than men.

B) If LIMBWATA means that the family money is used by Mama Watoto to purchase stuff at Kariakoo rather than being drunk by the husband at RIVERSIDE or GAZA ONE then I support that men are affected by LIMBWATAz

C) If a LIMBWATAz husband is the one who won't spend ALL the monthly salary with NYUMBA NDOGO or at KITIMOTO Bar (while his KIDS starve) then HONGERA to all LIMBWATAz husbands.

E) If LIMBWATA means that a MUME spends quality time with his MKE and WATOTO, instead of engaging in dubious investments where he is CONNED then; "Watu Walishwe LIMBWATA forever".

f) If LIMBWATA means that when MKEO is SICK you help her with work, that when she is over burdened you extend a helping hand then LONG LIVE LIMBWATAz.

G) If LIMBWATA means that you DON'T BEAT UP your wife, that you seek assistance from your wife for they are called helpers when you have tried all the altanertives in vain, then LIMBWATAz LIDUMU MAISHA .

H) If LIMBWATA means that you treat your wife as a human being, that you are polite, don't bark at her like a dog, DONT growl at her like a hyena,consider that after work she is as stressed as you are then VIVA LIMBWATAz.

I) If LIMBWATA means that you are at home after work, and that your wife and kids are your next of KIN then HONGERA WALE WOTE WALILISHWA LIMBWATA.

Na ukae hivyo hivyo kaka! KAMA UMELISHWA LIMBWATA, WEWE NI BINGWA!!

Tell your WIFE to add More LIMBWATA
 
Wadau kwa heshima na taadhima naomba mawazo yenu kuuhusu ili swala la limbwata! ni juzi tu hapa ninapo ishi kunajamaa wanasema amepewa limbwata! kwa vitendo vyake anavyo vifanya katika jamii.

Kikubwa ni kwamba anampenda mpenzi wake sana kwa kumfanyia mambo adimu kama kumfulia nguo za ndani, kuwachukia ndugu zake wanapo muomba msaada na wanaendelea kusema eti huyo mpenzi wake ana weza enda kwa ma boyfriend zake aka kaa hata wiki moja na pindi anaporudi mumewe huyo upokea bila kumuuliza chochote!

Kuna siku mkewe alimkuta akiongea na wapangaji hapo wanapo ishi aka mfokea mbele ya wapangaji kwamba ameanza lini tabia za kuongea na majirani na kudiriki kutoka nje? jamaa akaomba msamaha na kurudi ndani haraka.

Jamaa ni msomi mzuri na anakazi nzuri...jamani huu sio uwongo ni kitu ambacho nimesimuliwa. Na nimeambiwa eti mpaka huyo mwanamke achomoe izo naniii ndo jamaa anaweza pata ufahamu wake. Sasa wadau hivi kweli limbwata lipo? naomba kuwakilisha.

Fill free kusema chochote unachacho kijua au kukifahamu.
 
Lipo mkuu, tena linachanganywa na vitu flan flan.... kisha liwa huyo!
 
Tafuta wataalamu haraka wamrekebishe huyo ndugu yako, limbwata imefanya kazi hapo!
 
mhh njoo nikuwekee kidg..tufanye ka expermrnt kduchu then tuone inakuwaje...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom