Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

@ kongosho,nakubaliana na wewe inawezekana ipo vichwani mwa watu tu!
 
erik52,mazingira sio ushahidi kwenye mazingira haya,niambie kama umewai kuliona limbwata!
 
Last edited by a moderator:
Sasa jambo gani la mashaka na linalofichwa?

Come on; do u see mdada wa JF, akasema kuwa anatumia hiyo vitu, u must be kidding!

Wadada wa humu, full educated n hence liberated, full maconfidence, full ma-awareness, full you name it! Akitokea mmoja akawa herself atashambuliwa huyo, mpaka au abadilishe ID na kuja kisister do au apotee jumla!
 
Subiri niwafanyie limbwata wanaume wa JF ambao hamliamini kama lipo,then likiisha mtaambiwa na jirani zenu.
 
Linafananaje?

Wakati nipo chuo niliwahi kuambiwa na dem wangu NAMNA YA KUTENGENEZA LIMBWATA: Ni hivi, chukua kidogo nywele zako za sehemu ya siri changanya na nywele za huyo unaetaka akupende, kisha muwekee kwenye chakula chochote. Akila tu sikilizia habari yake; Atakuwa anawazia huko tu kazi nyingine zote anasahau. Eiyer nimekuelekeza tu namna ya kutengeneza, usije uka test bure.....
 
sio mie niliyesema kuhusu shuntama,ndo maana nauliza sifahamu shuntama wala rubisi naomba mnijuze..

Rubisi ni pombe ya wahaya itengenezwayo kwa ndizi mbivu. Shuntama ni limbwata pia hutumiwa na wahaya!
 
Kaunga,usiusemee moyo wa mwenzako wanaweza wakaja!Sio kila jambo wengine wanaliona kama unavyoliona wewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom