Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Mhhh jamani kwa ivo inawezekana mapenzi tunayo yaona hapa mjini ni Limbwata! nitajuaje sasa kama mtu wangu niliye nae hajaniwekea limbwata! linawekwa wapi? ndo mabango ninayo yaona hapa mjini kwamba unaweza kumvuta mpenzi?
 
Kama unataka kuwekewa LIMBWATA nenda kaoe wanawake wa SINGIDA, wao hatua ya kwanza mara baada ya kukupata ni kukuwekea LIMBWATA, then utakuwa unatii na kutekeleza kila kitu atakacho kuambia ukifanye, sio utani, wanawake wa SINGIDA ni wataalamu sana wa LIMBWATA, hivyo wanaume tuchukue tahadhari kabla ya hatari!
 
limbwata lipo, na wengi mpk wanapokuja kustuma mambo yashaharibika. kama ni nduguyo msaidie kumuondoa katika kifungo hicho.
 
Kama unataka kuwekewa LIMBWATA nenda kaoe wanawake wa SINGIDA, wao hatua ya kwanza mara baada ya kukupata ni kukuwekea LIMBWATA, then utakuwa unatii na kutekeleza kila kitu atakacho kuambia ukifanye, sio utani, wanawake wa SINGIDA ni wataalamu sana wa LIMBWATA, hivyo wanaume tuchukue tahadhari kabla ya hatari!

Sinai taratibu aisee tukianza kutajana makabila hapa hatumaliza
 
niliwahi kuambiwa makabila haya, sasa sijui ni kweli au uongo au ni ujuzi wa mapenzi wa wanawake kutoka makabila haya-Nyiramba, rangi, coast from tanga-mtwara, nyamwezi.
 
Endelea list bado sana hiyo Utingo
 
Mshauri akapige Kikombe cha Babu au Bibi wa Tabora limbwata litapukutika lenyewe.:panda:
 
Kuna jamaa yangu alipigwa limbwata la mjusi wa ndani huko Mtwara. Huyo jamaa alikuwa akiona tu jua anakimbila ndani. Yaani kwa ujumla alikuwa hatoki nje. Ndugu zake wakaenda kwa mtaalam wakaambiwa kuwa kuwa kwenye kizingiti cha mlango amafukiwa mjusi wa ndani. Mkifanikiwa kumtoa huyo mjusi jamaa atakuwa fresh. Ikabidi wafanye hivyo na mara jamaa akawa fresh na kutambua utu wake. Kweli limbwata lipo
 
Nimedokezwa wahaya wanaita SHUMTAMA! YAANI KAA CHINI AKUNA KUFUKUTA!!!
 
Kuna jamaa yangu alipigwa limbwata la mjusi wa ndani huko Mtwara. Huyo jamaa alikuwa akiona tu jua anakimbila ndani. Yaani kwa ujumla alikuwa hatoki nje. Ndugu zake wakaenda kwa mtaalam wakaambiwa kuwa kuwa kwenye kizingiti cha mlango amafukiwa mjusi wa ndani. Mkifanikiwa kumtoa huyo mjusi jamaa atakuwa fresh. Ikabidi wafanye hivyo na mara jamaa akawa fresh na kutambua utu wake. Kweli limbwata lipo

Hii kali mjusi wa ndani...... kali sana hii kumbe hata mtwara hipo hiii kitu
 
Mbona sio issue, wanakata nyama ukubwa wa finyango ya mshkaki then inawekwa kunako uke kwa siku kadhaa hd iive. Na kipindi chote hcho utayeyushwa kula tunda. Baada ya kutoa hy nyama inachanganywa na nyama nyingine ukila tu umekwnda na maji. Utashikwa masikio na kupgwa masimbi kama katoto kadogo.
 
Makubwa haya!!!!
 
Kuna jamaa yangu alipigwa limbwata la mjusi wa ndani huko Mtwara. Huyo jamaa alikuwa akiona tu jua anakimbila ndani. Yaani kwa ujumla alikuwa hatoki nje. Ndugu zake wakaenda kwa mtaalam wakaambiwa kuwa kuwa kwenye kizingiti cha mlango amafukiwa mjusi wa ndani. Mkifanikiwa kumtoa huyo mjusi jamaa atakuwa fresh. Ikabidi wafanye hivyo na mara jamaa akawa fresh na kutambua utu wake. Kweli limbwata lipo

Ha ha haaa! Mh, mambo mengine hatutakiwi kucheka, lakini hili mmmh. :noidea:
 
Mbona sio issue, wanakata nyama ukubwa wa finyango ya mshkaki then inawekwa kunako uke kwa siku kadhaa hd iive. Na kipindi chote hcho utayeyushwa kula tunda. Baada ya kutoa hy nyama inachanganywa na nyama nyingine ukila tu umekwnda na maji. Utashikwa masikio na kupgwa masimbi kama katoto kadogo.

Babaubaya, Tumekwisha! :A S-key:
 
Lipo ukiwa na Mungu na imani halitakugusa. Angalia filamu za wa west Africa esp. Nigeria zote zina story zinazoendelea maishani kila siku utajifunzia humo
 
Ha ha haaa! Mh, mambo mengine hatutakiwi kucheka, lakini hili mmmh. :noidea:
......ahahhahahahhaahaha Mtwara,pwani na dar(baadhi ya maeneo)wanaendekeza sana.....yani limbwata ndio sehemu ya mapenzi yenyewe wanasemaga.
 
Sasa kama mambo ndo haya kuna ukweli kuhusu mahusiano, mapenzi??? hawa jamaa tunao waona wamepitiliza katika mahaba. Awasikii wala kuambiwa kuhusu wake zao tu conclude wapelishwa tayari finyango? au ni mtu kukolezwa na mapenzi moto moto!!!
 
Back
Top Bottom