Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Labda iyo case namba moja...ingawana nayo yaweza kuwa kukolezwa tu...kuna watu ni mazezeta ikija kwa wake zao hata ulimwengu wa kwanza ambako uchawi hakuna...

Hizo zilizobaki ni kukolezwa tu...hapo ndugu wategemee huruma ya wife...wanatakiwa wamshike wife na kumuheshimu kwani ndiye mwenye password ya ndugu yao...Family nyingi sana wife ni final say sababu mume amechanganyikiwa na love...ila tu watu hawapendi kujipraudi kuwa mimi mume wangu hafurukuti...kwa sababu ukishaanza kujisifia maanake una take advantage ya kupendwa...na kukaribisha chuki kwa wakwe na mawifi...mkiwa adharani you pretend as if yeye ni final say...kumbe kila kitu lazima utie tick ndio kifanyike...

Siamini limbwata ila kuna matukio kadhaa ambayo nimekutana nayo katika maisha yangu ambayo yameiweka Imani yangu kwenye mzani na ikabaki ikielea.

1. Kuna baba mmoja jirani yetu kijijini ambaye alikuwa mwajiriwa wa JWTZ. Mke wake alikuwa anaweza kutembea na yeyote au kwenda kokote na baba anabaki kimya.

2. Kuna school mate wangu kakorofishana na kila mtu kwenye familia na kubaki na mke wake. Hata dada yake aliyeksomesha hawaelewani kabisa. Pia hataki kwenda kwao.

3. Kuna dogo mmoja ambaye ni mtoto wa jamaa yangu. Ameoa kama miaka 3 hivi iliyopita. Haelewani na kila mtu hata kaka yake aliyemlea baada ya wazazi wake kufariki. Nasikia hawezi kufanya kitu hadi apate ruhusa ya mke wake.

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo yananiweka njia panda pamoja na uzee wangu huu!
 
Kuna limbwata la kupewa na mganga na limbwata la kutengeneza mwenyewe kwa mikono yako
ONYO LIMBWATA LA KWA WAGANGA SIO INAWEZA KUA NI SUMU OOOO
 
Siamini limbwata ila kuna matukio kadhaa ambayo nimekutana nayo katika maisha yangu ambayo yameiweka Imani yangu kwenye mzani na ikabaki ikielea.

1. Kuna baba mmoja jirani yetu kijijini ambaye alikuwa mwajiriwa wa JWTZ. Mke wake alikuwa anaweza kutembea na yeyote au kwenda kokote na baba anabaki kimya.

2. Kuna school mate wangu kakorofishana na kila mtu kwenye familia na kubaki na mke wake. Hata dada yake aliyeksomesha hawaelewani kabisa. Pia hataki kwenda kwao.

3. Kuna dogo mmoja ambaye ni mtoto wa jamaa yangu. Ameoa kama miaka 3 hivi iliyopita. Haelewani na kila mtu hata kaka yake aliyemlea baada ya wazazi wake kufariki. Nasikia hawezi kufanya kitu hadi apate ruhusa ya mke wake.

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo yananiweka njia panda pamoja na uzee wangu huu!

Aiseee babu umeona eeh? Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia unaona kabisa hii sio akili ya kawaida hii....ni nini bas kinafanya hivyo? Ni mapenzi? Hapana nakataa....lazima kuna force ina-operate hapo. Ila wapo wengine huwa wanakuwa mazuzu kwa wake zao kwa sababu hao wanawake wanakuwa wametunza siri zao nyingi ambazo endapo zitavuja zaweza kuwagharimu uhai, na heshima mbele ya jamii. Kwa hiyo wannaona bora wawe kondoo tu...
 
Kuna limbwata jamani , na kila mtu anaitengeneza kwa namna yake alopewa na mganga wake ili amfanya mpenzi au mmewe vile anavotaka.Sema watu wa nje watajua ni mapenzi tu.

Mengine hadi watu wa nje wanastuka aisee
 
Labda iyo case namba moja...ingawana nayo yaweza kuwa kukolezwa tu...kuna watu ni mazezeta ikija kwa wake zao hata ulimwengu wa kwanza ambako uchawi hakuna...

Hizo zilizobaki ni kukolezwa tu...hapo ndugu wategemee huruma ya wife...wanatakiwa wamshike wife na kumuheshimu kwani ndiye mwenye password ya ndugu yao...Family nyingi sana wife ni final say sababu mume amechanganyikiwa na love...ila tu watu hawapendi kujipraudi kuwa mimi mume wangu hafurukuti...kwa sababu ukishaanza kujisifia maanake una take advantage ya kupendwa...na kukaribisha chuki kwa wakwe na mawifi...mkiwa adharani you pretend as if yeye ni final say...kumbe kila kitu lazima utie tick ndio kifanyike...

Kama wewe hapa umejipraud indirectly....bahati yako wewe sio wifi yangu
 
Hapo nilitaka kukupa fact wewe ambaye hujaingia kwenye ndoa bado kuwa tunaona huruma tu kuweka wazi kuwa tuna sauti...te te te...lakini wanaume wengi hawafurukuti kwa wake zao...wanajitutumua mitaani tu kwa sababu ndio definition ya kuwa mwanaume...

Back
Top Bottom