nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Nimepata kusikia eti wanaume nao hutumia mizizi shamba kuwatuliza wake zao. Inasadikika kuwa
Njia hii ilitumika zaidi siku za nyuma (mababu) na ndio maana ndoa zilidumu. Wanasema mwanamke kwa asili hatulii (ni mtata).
Ndoa za sasa hazidumu kisa wanaume wa Leo mmepuuza mila hiyo. Tupeane mawazo jamani, yana ukweli wowote haya?