Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,088
- 72,505
Shemeji dushe hata sisimizi anayo....
Picha tafadhal nione ya sisimizi ilivyoo
Shemeji dushe hata sisimizi anayo....
Shost nipe la kumfanya kondoo
Ngoja tupange siku tukamwone huyo babu, shemeji Dinazerde asijue lkn!
Halaf ole wako uje unililiee hapaa!,!weeeer unataka nimwage mchelee hapas lol
Kwa wale wanaotokea/waliopo mji mkuu wa limbwata (TANGA), na miji mingine midogo (upare, unyirambani,uzaramoni) naombeni majibu ya chapchapa sehemu ya kupata limbwata la kumlisha mwanamke (jimama) kama ipo...kama haipo niambie ''HAIPO'' ili nisihangaike
I swear this world is coming to an end.
Hivi hivi tukionaga.
Yaani hawa watoto wangekujaga na warranty tungewarudisha kiwandani.
Dawa ipo we mkoleze ktandan mpaka aongee kichina kama ni jimama,na kwa vibinti vidogo saizi ya mie we tunisha wallet,toa hela kama huna akili nzur,hyo itakua libwata tosha
aisee kumbe upare ni noma kweli ndugu zangu nilikua sijui ila umenifumbua macho mimi nilikua naishi na mwanamke mpare kuna kipindi nilipata ruhusa kazini na kwenda chuo kusoma kwa kipindi cha miaka miwili hivi bibie ni mwalimu wa shule ya msingi mkoa ambao mm nafanyia kazi nilianza nae mahusiano tangu mwaka 2007 mwaka 2009 binti alipata ujauzito lakini ikawa bahati mbaya lakini kwa kipindi hiki tulikua tumewajulisha wazazi kienyeji kuwa tupo wote kwavile wazazi wetu wapo mbali walitupa hongera kwani wanashukuru mimi wazazi wangu wapo dar wa bibi upareni. baada ya ujauzito kufikisha miezi sita iliharibika . maisha ya kaenda ilipofika mwaka 2010 mm nilipata chuo na kwenda kusoma lakini tayari binti alikua mjamzito mm nilipoenda chuo nilipo maliza mwaka wa kwanza niliamua kumtuma baba yangu mzazi akajitambulishe ukweni lakini baada ya mwezi mmoja nami nikaenda hapo ndio tatizo likaanza bwana daaaah niishie tu hapa jamani.
Nshakutumia kwa pm....Picha tafadhal nione ya sisimizi ilivyoo
tatiana wewe acha tu mungu saidia nmeponea kwenye tundu la sindano .
nnaushahidi tosha jamani limbwata lipo tafadhali msikatae kama hayajakukuta unaweza usimini hayo makabila mawili nmejionea mnyiramba na mpare.
Kwa wale wanaotokea/waliopo mji mkuu wa limbwata (TANGA), na miji mingine midogo (upare, unyirambani,uzaramoni) naombeni majibu ya chapchapa sehemu ya kupata limbwata la kumlisha mwanamke (jimama) kama ipo...kama haipo niambie ''HAIPO'' ili nisihangaike
Niruhusu niprint hii nipeleke kunakohusika.