lazarouz
Member
- Apr 2, 2014
- 79
- 8
Kwa wale wanaotokea/waliopo mji mkuu wa limbwata (TANGA), na miji mingine midogo (upare, unyirambani,uzaramoni) naombeni majibu ya chapchapa sehemu ya kupata limbwata la kumlisha mwanamke (jimama) kama ipo...kama haipo niambie ''HAIPO'' ili nisihangaike
Ya mwanamke hamna ila ipo dawa ya kumfanya anase akichepuka tu ile kitu inangangania ndani haitoki