FAGILIA. JF. ARUSHA. WING!!!! Dar WING KAZENI MWENDO!!

FAGILIA. JF. ARUSHA. WING!!!! Dar WING KAZENI MWENDO!!

Last edited by a moderator:
Kama ni Ben Saanane anatoa talaka ni sawa................. ila ukiona Madame B ndo anatoa talaka ujue kuna mwingine anasubiri kama vile anaingia kwenye ATM....... chezea Madame B weweee!!!
Mungi unajua leo ilikua nitoe tamko kali lakini nimeahirisha baada ya kupiga hesabu kali kisiasa.Pia nimegundua Madame B ni kete nzuri kisiasa na pia anafaa kuwa First Lady na jinsi alivyo poa kwenye PR.Mimi na yeye ni kama Obama na Michelle kisiasa na si unajua hakuna Risk ya kujimilikisha Kiwira au mgodi mwingine maana mimi ni mzalendo hardcore.
 
Haswaaa mpenzi wangu Ben Saanane.
Penzi letu liwe la mfano, japo wa zamani Arushaone bado ananipigia misele ya chinichini.
Keshawapa barua yenye Kopa na mshale katikati Mungi, Erickb52 na shem watu8 ili wanililetee.
Nimeikataa.
Never gonna change my love for u, Ben.

Nawapenda sana wana Dar-Wing wenzangu,
KakaKiiza, Kipaji Halisi, Mtambuzi, manoah, Bujibuji, Ruttashobolwa, Tulizo, watu8, Paloma, Raiza, Mentor, gfsonwin, snowhite, cacico, figganigga, mwaJ, eversmilling Gal.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom