Mungi unajua leo ilikua nitoe tamko kali lakini nimeahirisha baada ya kupiga hesabu kali kisiasa.Pia nimegundua Madame B ni kete nzuri kisiasa na pia anafaa kuwa First Lady na jinsi alivyo poa kwenye PR.Mimi na yeye ni kama Obama na Michelle kisiasa na si unajua hakuna Risk ya kujimilikisha Kiwira au mgodi mwingine maana mimi ni mzalendo hardcore.
Kumbe uko huku ndo maana hujibu sms zangu?