FAGILIA. JF. ARUSHA. WING!!!! Dar WING KAZENI MWENDO!!

FAGILIA. JF. ARUSHA. WING!!!! Dar WING KAZENI MWENDO!!

Haswaaa, tunakuja juu na itakuwa ni wing ya kuigwa, arusha jipangeni msije mkataka kuja kujifunza mwanza tena

JF Rock City Wing tupo njiani tunakuja kwa kasi kuliko FastJet.....

Nakala kwa: Rock City, ram, Marire na JF Rock City Wing woooooote!!!!!!!

Ujumbe: Kutangulia sio kufika
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani huyu babu Asprin wa Dar wing yupo wapi!?Hamjanioneapo huko Arachuga!!!?
Babu Asprin popote ulipo nimekumiso jitokeze
 
Last edited by a moderator:
Hajajifungua ila yeye ndo anazalisha wamama huko, Location yake tu inajieleza Erickb52 au hujui location ya babu

Una maaana Asprin kajifunguaa?
Mh hapa lazma tukulambe ban ram coz ni kashfa kubwa kwa babu
 
Last edited by a moderator:
Hajajifungua ila yeye ndo anazalisha wamama huko, Location yake tu inajieleza Erickb52 au hujui location ya babu

Alaaa.... Kumbe, mwangaluka ram
 
Last edited by a moderator:
Daah!
Shumegi hapo kwenye word "tuombeane" nilipasoma vibaya! Nikastukaje? Mpaka niliposaula wani machoni ndiyo nikakuelewa!
Aisii ! Haya maovaluku ya kiutu uzima nayo! Shughuli !

Shemeji sasa naona unazeeka vibaya kama babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom