figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,185
- 64,575
huku hatujambo ila joto linatupa tabu. karibu!. mianzuri sijui huko dar
huku hatujambo ila joto linatupa tabu. karibu!. mianzuri sijui huko dar
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc..._CBxNI5R6GcAbP4M_WOvJ3Q&bvm=bv.45512109,d.ZWU
siyo nguvu zenu ni Mungu ndiye anayewaongoza,
kila la kheri Arushaone na wana Arusha wote,
mpe Mr Rocky salamu zangu.
am okey my dia sis
Koku-tona nilikuwa namzingua Arushaone tu,
ila napo siku hizi hili penzi mmmmh
laanza kusua sua vile.
huku hatujambo ila joto linatupa tabu. karibu!. mia
Well then.
I wonder where were you!
Recently sijakutia machoni kabisa mdogo wangu au ni mimi ndo nimekuwa mtoro?
Love you so much dear.
Mie ninaitaka na wewe sasa.
Mume wetu kasema anajua kuoa, hajui kuacha.
Madame B hapana,
endelea tu,
labda MziziMkavu akikuchoka ndo aje kwangu, ila
kwenda sambamba hapana, go ahead baby.
I am declearing my interest that, though niko chimbo, I LOVE YOU sweetlady.
I am declearing my interest that, though niko chimbo, I LOVE YOU sweetlady.