Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,633
Kuku kapanda baiskeli, bata kavaa raizon
Uzuri wake unanipa kiwewe,
Nifanye nini kumuacha siwezi,
Adui yako ndiye rafiki yako,
Kuku kapanda baiskeli, bata kavaa raizon
me too swtie
Msipotufagilia tutajifagilia wenyewe allas!! Kitu chako unapaswa kupewa wakikucheleweshea chukua mwenyewe kwani ni haki yako!
F4G1L14!!!
NEED WE SAY MORE?
Na kweli akuje kipande hii maana nami CD si imestaki...
name nimekumiss pia watu8
Mwongozo wa nini?
Haya dia.... Tuombeane uzima
we hutaki membership huko?
mi mwenzako nimeomba ndo nasubiri majibu
tuhamie airtel rafiki
Daah!
Shumegi hapo kwenye word "tuombeane" nilipasoma vibaya! Nikastukaje? Mpaka niliposaula wani machoni ndiyo nikakuelewa!
Aisii ! Haya maovaluku ya kiutu uzima nayo! Shughuli !
ntakuja nipate uzoefu kabla sijainyanyua Sitimbi Wing!