Mfikishie habari Kubenea kuwa Makonda karudi njaa..Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Kuhusu Mecky Sadiki, Rais ana haki ya kupanga safu yake, hata JK alifanya hivyo.Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Mkuu nakupa heshima zako ktk mambo mengi ya jumuiya.Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Ww ni sample space ya wale waliopimwa IQ, huna unachojua.Kwa hiyo Lowassa ambaye ni mpya kwenye system ndio anafaa UKAWA sio!?
Haha!! I agree with you bro!Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Haya mambo yangekuwa na misingi na mwendelezo lingekuwa jambo bora sana..umetaja mengi yake mazuri lakini madhaifu yake hukuorodhesha hata moja, ni sahihi kwakuwa nia ilikuwa kumjengaMkuu nakupa heshima zako ktk mambo mengi ya jumuiya.
Ila hili jambo la kumdharau RC Makonda nitalipinga mpaka kiama.
1) kaweza kutatuwa ubadhirifu ktk wilaya yake.
2) wafanyakazi wa Umma wameleta heshima kwa WATEJA wao sisi wananchi.
3) kawaajibisha majaji Na wanasheria MATAPELI
4)anawasaidia vijana wa Kinondoni kupata ajira Na kuongeza ubunifu ktk ajira zao.
5)huduma za afya kwa wanaKinondoni.
6)kujenga shule mpya kupitia kwa wa hisani Na wasamaria wema.
7) kusimamia ujenzi wa barabara za Kinondoni.
Na mengi tuuu
Na anajuwa kutumia vyombo vya habari
RC Makonda amekua Mfano bora kwa WaTanzania wanao taka maendeleo.
Wako wengi Kama wewe mnaompinga kwa sababu tu anafanya vizuri.
Tafadhali tuandikie mkuu au mtu yeyeto anaye fanya kazi nzuri ili tumpongeze.
Ndungu Mshana Jr nimekuelewa.Haya mambo yangekuwa na misingi na mwendelezo lingekuwa jambo bora sana..umetaja mengi yake mazuri lakini madhaifu yake hukuorodhesha hata moja, ni sahihi kwakuwa nia ilikuwa kumjenga
Utawala/uongozi wake utakuwa wa mabavu na utemi kwasababu hii ndio style aliyozoea lakini aende kwa kituo kwakuwa u RC ni tofauti kabisa na u DC. Anaweza kuja kujiweka kwenye mtanziko mmoja mkubwa sana(mark my words )
Ndio maana Ngosha kabadili mazoeabinafsi makonda hell no,,waliokosa ubunge hell no,lakini mwisho wa siku ni vyeo vya makada sasa najiuliza hawa ma meja jenerali,brigedia na kaishna wa polisi nao ni makada????
bado inajenga picha mbaya kwa viongozi wetu wa majeshi na kufanya waonekane ni watu wa chama.
Ha ha ha hii sentensi ni tata!Hujui unacho "kinena"
Kutokwa povu ni dalili mbaya sana msaada tafadhali watakuwa wanaumwa hawa! La sivyo povu lao ni sabuni nzuri ya kutoa tongotongo za mpevuko wa kiakili na kifikra watu wa kaliba yakoPovu linawatoka,waacheni watu wafanye kazi,ccm ndio ipo madarakani itabidi muwe waangaliaji tu na kupiga kelele mitandaoni haisaidii
Mtu akiwa public figure ni halali ya public kumjadili. Na si lazima mtu akukosee umkubali, mengine ni machale, au the way he talks etc.Unadhani wewe ndio mwenye hekima saaanaaa na una analysis nzuri hata useme Rais kakosea kumteua Makonda??? Ulitaka amteue nani hata uridhike wewe Mtanzania???????? Hivi huyu Makonda amewakosea nini??????
interesting ...... sarakasi za kila aina zitakuwepo hivi hii serkali nawaza tu inautulivu wanaelewa wanalofanya maana muda wote watu wanapanguliwa kazi zitafanyika kweliIts like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Its like installing new software in the old motherboard