Fagia fagia ya Magufuli

Fagia fagia ya Magufuli

Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very royal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Kwa nchi yetu ilivyo, who cares?
 
Kuna kitu hakiko sawa mahali na niseme bila ya kumumunya maneno kuwa bwana mkubwa sio kiongozi Bali ni mtawala.
Mabadiliko ya utawala wa halnashauri za jiji kutoka mikononi mwa chama tawala kwenda upinzani kwa kiongozi making alioaswa kuweka RC anayetumia hekima na uzoefu na sio MTU wa mihemko na misifa kama huyu.
Akiwa DC tuu Alisha onyesha kuishindwa halnashauri ya KINONDONI na kuishia mivutano kwa kutojua mipaka ya kazi yake sasa itakuwa mkoa?
Migogoro hata isha Dar kwa mtindo wake, ajawe katika uendeshaji wa halmashauri Meya na madiwani wake ndio engine ya maendeleo hivyo RC anahitaji sana kufanya nayo kazi huku yeye ajisimamia ulinzi na usalama.
Jee bwana mkubwa hakuliona hilo?
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very royal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Hata hueleweki.
 
Magufuli angetakiwa atafute watu makini sana wa kufanya nao kazi.
Asingekua mtu wa kukurupuka na ku controliwa na chama, tatizo kubwa la Magufuli hakuwahi kufikiri kuwa atakuwa president one day, kwa hiyo hata timu ya kazi hakuwa nayo zaidi ya kuwafahamu kina Charles Kitwanga na kina Katibu kiongozo wake yule mpya.
Hiki kinachomgharimu sana
Hujui unacho "kinena"
 
Usisahau na wa kicheba tasavali
Itabidi siku moja utuletee habari ya kijiji cha Mlingotini....Nasikia mafanikio ya Mtibwa Sugar yalikuwa yanamtegemea mzee pandu wa pale Pande....huyu mzee kasaidia wachimbaji wengi sana wa Migodi ya Tanzanite...kateketeza sana Majogoo weusi
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very royal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo

= loyal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom