Brown73
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,100
- 683
Tulitaka uwe wewe...!
Ndugu Mshana naona topic umeanza vizuri lakini kwa jibu kama hili naona kama umepotea jia. Yaani inaontesha mada yako si ya kimaendeleo bali ni kisiasa tu.
Tulitaka uwe wewe...!
Vp westham walishinda?Man u kishapigwa moja na westham
There is no doubt kwani Mh. Makonda ni:
1. Mchapa kazi
2. Anajua kuthubutu
3. Mbunifu sikutegemea nikiwa hai nishuhudie wamiliki wa daladala wakubali wlimu wasafiri bure! sikutegemea! kwani maasakari walikwishaanza poiga kelle walipe nauli!!!
4. Ni kijana hivyo ana nguvu
5. Ana ushawishi
6. Ni impartial- tulishuhudia issue ya Sumaye!
7. Ni shupavu
8. Anatumia hoja kumonga mtu na siyo nguvu walakashfa
9. Ni msomi
10. Ni mzalendo- hayuko kwa ajili ya msalahi yake
11. Ana uwezo wa kwenda na kasi ya Mh. Magufuli
12. ....
13.....
14.......
Sasa kwa nini wanaDar-Es-Salaam tusifurahi kumpata mtu kama huyu?
Wewe hujaliona?Katika maneno yoooote umeona hilo tu???
Wabongo wengine ndo #viazi kweliAsante hii lugha ya wenyewe majanga ndugu
Wewe umefanya nini cha maana
vyema sana kumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuwakuwa mshana jr sio Magufuli
Magufuli atamwachajeMsukuma mwenzie. kachunguze wakuu wa mikoa 14 wametokea kanda ya ziwa. sasa ni UKABILA na UDINIIts like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Aisee hapo kwenye Lenovo una maana gani mkuu!!??Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Jamani hebu sema na wewe Brown73. Basi kama kuchapa kazi ndio kujipendekeza wacha iwe hivyo kwa hii miaka 5 ili nchi yetu itoke hapa ilipokwama! Maana Hamna namna!Tatizo kwa watanzania ukifanya jema utaambiwa unajipendeka au unajiona au unajionyesha na ukikaa kando ukavita mambo kivyako utaambiwa hufai, mwizi mara fisadi
Magufuli atamwachajeMsukuma mwenzie. kachunguze wakuu wa mikoa 14 wametokea kanda ya ziwa. sasa ni UKABILA na UDINI
Hahahahaha mkuu upoItabidi siku moja utuletee habari ya kijiji cha Mlingotini....Nasikia mafanikio ya Mtibwa Sugar yalikuwa yanamtegemea mzee pandu wa pale Pande....huyu mzee kasaidia wachimbaji wengi sana wa Migodi ya Tanzanite...kateketeza sana Majogoo weusi
Hilo nalitambua mkuu....moja ya kifaa changu cha mawasiliano ni Lenovo Vibe Shot. Umenishtua ulivyoanza kufananisha Bajaj kupachikwa injini ya Kilimo Kwanza...then ukaja na Samsung na Lenovo, nikaelewa labda hii Lenovo hapa ndio hiyo Bajaj na Samsung ndio Kilimo Kwanza mkuu. Niwie radhi kwa mahaba niliyo nayo kwa Lenovo.Ni kampuni inayotengeneza electronics zikiwemo computer