Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
There is no doubt kwani Mh. Makonda ni:Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
1. Mchapa kazi
2. Anajua kuthubutu
3. Mbunifu sikutegemea nikiwa hai nishuhudie wamiliki wa daladala wakubali wlimu wasafiri bure! sikutegemea! kwani maasakari walikwishaanza poiga kelle walipe nauli!!!
4. Ni kijana hivyo ana nguvu
5. Ana ushawishi
6. Ni impartial- tulishuhudia issue ya Sumaye!
7. Ni shupavu
8. Anatumia hoja kumonga mtu na siyo nguvu walakashfa
9. Ni msomi
10. Ni mzalendo- hayuko kwa ajili ya msalahi yake
11. Ana uwezo wa kwenda na kasi ya Mh. Magufuli
12. ....
13.....
14.......
Sasa kwa nini wanaDar-Es-Salaam tusifurahi kumpata mtu kama huyu?