Wakuu sijaelewa paul makonda kawa mkuu wa mkoa wawapi?
darisalamaaaaaa yoote wala si Kino tu
Wakuu sijaelewa paul makonda kawa mkuu wa mkoa wawapi?
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
In two days ningeweza kumpa ila tatizo ni hilo la chuma uleteMwekundu atoe wapi huyo gamba,wakati yeye anapewa buku7 na lumumba
Tafuta story ya kuku mwenye hirizi utajua kila kitu kuhusu hayo maeneoItabidi siku moja utuletee habari ya kijiji cha Mlingotini....Nasikia mafanikio ya Mtibwa Sugar yalikuwa yanamtegemea mzee pandu wa pale Pande....huyu mzee kasaidia wachimbaji wengi sana wa Migodi ya Tanzanite...kateketeza sana Majogoo weusi
Ili iweje kwa mfano?Tulitaka uwe wewe...!
Mtu hadi anafunga kamba za viatu za wakuu..noma. Hili ni somo kubwa kwamba kujifanya maskini jeuri sio dili wala nnUkiwa ccm kujikomba kwa wakubwa inalipa sana
Katika wanasiasa wa nchi hii siwapendi wa kwanza ni Makonda.Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Teh! shida kuuIli asichaguliwe makonda
Hivi wewe una hoja gani hapa?? Nimesoma mara 5 sijaona hoja yako. Au una chuki binafs dhidi ya Makonda??? Binafsi sifahamiani na Makonda kwa maana ya kuwa karibu nae ila najiuliza kwanini unamsakama, amekosea nini?? Au Ukuu wa Mkoa Dar lazima apewe Mzee mwenye mvi???? Naomba ufafanue, why unasema Makonda anajipendekeza na kwanini unasema ni mjuaji?????Its like installing new software in the old motherboard