Fagia fagia ya Magufuli

Fagia fagia ya Magufuli

Kwahiyo Na wakuu wa wilaya itabidi wabadilishwe na kuwekwa wapya? mana kuna nafasi ya Makonda itakuwa wazi, Naomba apewe Le mutuz Wilaya ya Kinondoni.
Hilo kubwa jinga mda mwingi lilezoea kushinda Kwa Devis Mosha kupiga mizinga na kwenda kuchepuka na vitoto under 16 halifai kupewa hata Mwenyekiti wa kijiji , kwanza Magufuli halitambui kabsa.
 
Usimalize maneno yote, huo ni mtazamo wako wewe.
 
Mambo ya siasa huwa yanatendwa kipuuzi sana, Makonda atahimili mzigo wa jiji kweli!
 
January Makamba kavuna Mabilion Kwa ajili ya Uchakachuaji Zanzibar umoja wa ulaya wanajua yote yanayoendelea hawajaalikwa na mtu wameamua kwenda wenyewe tu.
 
Huyu dogo kuna kinachomtafuta kama si anachokitafuta
 
Lengo si kumkomoa chadema na vijana tuliyoiunga mkono🙄🙄🙄🙄
 
Hilo kubwa jinga mda mwingi lilezoea kushinda Kwa Devis Mosha kupiga mizinga na kwenda kuchepuka na vitoto under 16 halifai kupewa hata Mwenyekiti wa kijiji , kwanza Magufuli halitambui kabsa.

Kwani unadhani CCM kuna hao kina kubwa jinga wangapi?
 
I think the biggest mistake the Presida made is to appoint professors and PhD holders in management positions instead of practitioners. They will be doind experimentation rather than from lessons learnt from experience. Most profs are classroom focused and to turn them around will take time especially at the age they are in.
 
Tatizo lingine ni la watoto wa jana wengine mabashite kupewa posts ambazo hawastahili kabisa.
Elimu elimu elimu na experience experience experience ndiyo ina shida.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think the biggest mistake the Presida made is to appoint professors and PhD holders in management positions instead of practitioners. They will be doind experimentation rather than from lessons learnt from experience. Most profs are classroom focused and to turn them around will take time especially at the age they are in.

Tatizo kujifanya ana IQ kubwa kuliko wengine matokeo yake kufanya vitu vya kijinga zaidi na zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom