Fagia fagia ya Magufuli

Fagia fagia ya Magufuli

Makonda kada mwaminifu kwa chama chake yuko tayari hata kuzaba vibao wazee wanaoheshimika nchini pale wanapoonekana kwenda tofauti na chama ili mradi aonekanane mfia chama na hatimaye kupewa vyeo vya upendeleo. Wampe vyeo vyote watakavyo lakini ile laana ya kumzaba kibao Mzee Warioba haitamwacha kamwe. Pia uteuzi huu umedhihirisha kuwa Magufuli bado anadhibitiwa na chama na ndicho kinamwamulia nani ateuliwe na nani atoswe.

CCM ni ilele huku wakisomeshana namba wao kwa wao.
Saanaaa na ilo halijaisha time will tell laana iyo mpaka ampigie magoti mzee warioba ni aibu ilioje inaonekana kilichofanywa na makonda kimebarikiwa na viongozi wake ndo maana deile wanamtunukuuu
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Weka ushabiki pembeni, UMEKOSOA NA KUSEMA YA MOYONI MWAKO, JE UNASHAURI ANGETEUA NANI KUWA MKUU WA MKOA WA DAR?? Na kwa nini??
 
Saanaaa na ilo halijaisha time will tell laana iyo mpaka ampigie magoti mzee warioba ni aibu ilioje inaonekana kilichofanywa na makonda kimebarikiwa na viongozi wake ndo maana deile wanamtunukuuu
Acha kulisha maneno watu wewe, mzee warioba anasema hajaharrasiwa na Makonda wee unasema kaharrasiwa!
Hovyo kabisa.
 
Chukua like mkuu ,Engine ya BAJAJ Kweny kilimo kwanza ni majanga mkuu ,Ni wakati wa kujua udhaifu wake huyu dogo..
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
NI UKWELI HASWA...LAKINI MKUU UJUMBE WA LEO KAMA TAARAB WALAHI....
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Kwa software ya lenovo ina kasoro gani hadi useme hivyo kwa kuilinganisha na ya Samsung?
 
Sintoshangaa kumuona akirusha ngumi kwenye mkutano na wanahabari uongozi ni hekima na busara abadilike ana matatizo yake kiutendaji.
 
Kumbe amewekwa Dar ili apambane na jiji linaloongozwa na UKAWA! wamefanya makosa makubwa sana! Sina haklika kama wana Dar watamwacha afanye kama alivyofanya kwa Mzee Warioba!
 
Sintoshangaa kumuona akirusha ngumi kwenye mkutano na wanahabari uongozi ni hekima na busara abadilike ana matatizo yake kiutendaji.

Kweli kabisa mkuu. Huyu dogo anatakiwa kuacha mihemuko yake ya kiCCM kama anataka watu wamuheshimu. La sivyo, hataisha kwenda Mahakamani.
 
Hilo nalitambua mkuu....moja ya kifaa changu cha mawasiliano ni Lenovo Vibe Shot. Umenishtua ulivyoanza kufananisha Bajaj kupachikwa injini ya Kilimo Kwanza...then ukaja na Samsung na Lenovo, nikaelewa labda hii Lenovo hapa ndio hiyo Bajaj na Samsung ndio Kilimo Kwanza mkuu. Niwie radhi kwa mahaba niliyo nayo kwa Lenovo.
Lenovo wako njema sana hata simu zao ila hapa kwetu sio maarufu
 
kilicho nishangaza mimi ni pale nipoona majina ya waliokataliwa na watu katika mikoa yao wamepelekwa kuwa wakuu wa mikoa mingine,huku ni kuwadharau watu wa mikoa hiyo, kama wangempeleka mtu wa namna hiyo katika mkoa wa Arusha angeshindwa kufanya kazi maana Arusha hawacheki na kima
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Kama haupendi makonda awe RC wa dar lambs ndimu nyumbu wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom