Fagia fagia ya Magufuli

Fagia fagia ya Magufuli

long time no see mzee vipi bundle lilisumbua kidogo au ni majukumu tuu?

Ni kati ya wale 46,alikuwa kwenye foleni ya kupokea bundle.Maana mategemeo yao yamepotea matokeo yake wamekuwa wakali kama pilipili kichaa.
 
Magufuli angetakiwa atafute watu makini sana wa kufanya nao kazi.
Asingekua mtu wa kukurupuka na ku controliwa na chama, tatizo kubwa la Magufuli hakuwahi kufikiri kuwa atakuwa president one day, kwa hiyo hata timu ya kazi hakuwa nayo zaidi ya kuwafahamu kina Charles Kitwanga na kina Katibu kiongozo wake yule mpya.
Hiki kinachomgharimu sana

Asigwa kwa taarifa yako Magu aliandaliwa kuwa rais tangu pale KK alipomtosa Lowasa
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
acha tu mi mwenyewe naanza kula misele hapa lumumba na kujipendekeza ili wanifikirie
 
RC aina ya Abbas kandoro angefaa sana kwa mkoa wa DSM, ana hekima, utulivu, na uvumilivu na sikuwahi kusikia akikwaruzana na kiongozi wa upinzani eneo lake la kazi
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Hahaaa!
 
Sintoshangaa kumuona akirusha ngumi kwenye mkutano na wanahabari uongozi ni hekima na busara abadilike ana matatizo yake kiutendaji.
Mtazoea tu kama J. Makamba, Nnauye, Mwigulu etc, nao mlipiga kelele! Hivi sababu ukawa "wamekamata" jiji mlitaka aweke mtu wa ukawa?? Mnafurahisha sana, sio serikali ya ukawa hii, ITABIDI huyu broo mumzoee tu, hamna jinsi!
 
Mtazoea tu kama J. Makamba, Nnauye, Mwigulu etc, nao mlipiga kelele! Hivi sababu ukawa "wamekamata" jiji mlitaka aweke mtu wa ukawa?? Mnafiruhisha sana, sio serikali ya ukawa hii, ITABIDI huyu broo mumzoee tu, hamna jinsi!
Taratibu Mkuu una haraka ka unaharisha mpaka unakosea maneno.
 
Chama ndo kinaendelea kushusha graph ya magufuli, watu walioanza kuwa na iman nae mwanzoni saiv washaanza kuona kumbe nae mule mule tu. Shida inaweza isiwe makonda shida ikawa watu ambao wako kwenye system miaka nenda rudi ndio hao hao wapo leo, halafu unaimba ngonjera za mabadiliko.
CCM ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa, hakuna kitu hapo
 
Saanaaa na ilo halijaisha time will tell laana iyo mpaka ampigie magoti mzee warioba ni aibu ilioje inaonekana kilichofanywa na makonda kimebarikiwa na viongozi wake ndo maana deile wanamtunukuuu
Watu wengine bhana.
Mmemzulia Makonda kampiga Mzee Warioba.Matokeo yake hata Mimi nilikuwa simjui Mh Makonda mkafanya Watu wengi tumjue Na kumpa heshima za uadilifu,uweledi,kujali watu wake Na muhimu anajuwa kutumia vyombo vya habari vyema.
 
Makonda kaokota cheo Kama dodo chini ya Mti, kapewa Mabilion ashirikiane na January Makamba Bingwa wa Ndumba na Uchakachuaji wahakikishe kuwa meya wa jiji anakuwa wa ccm , maana Makonda kaihadi ile kamati ya Ufundi Mabilion pindi ccm wakichukua umeya , Sasa wapo busy wanahaha kubuni kila mbinu za Uovu ili mladi wafanikiwe kuchukua jiji lote .
 
CCM ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa, hakuna kitu hapo
Sasa anahaha kuhakikisha kuwa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa inamsikiliza iwe inatekeleza unyanyasaji wake Kwa wapinzani bila kumpinga hataki kutawala Alafu Akonde Kwa Mawazo .
 
Mtazoea tu kama J. Makamba, Nnauye, Mwigulu etc, nao mlipiga kelele! Hivi sababu ukawa "wamekamata" jiji mlitaka aweke mtu wa ukawa?? Mnafurahisha sana, sio serikali ya ukawa hii, ITABIDI huyu broo mumzoee tu, hamna jinsi!
ujue Makonda na yeye atakonda pindi Meya wa jiji akiwa wa Ukawa , ujue kapewa Mabilion ayatumie kuchakachua na endapo mambo yataenda kinyume lazima atakonda sana .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom