Explosion In New York, 29 Injured In Manhattan Explosion

Donald Trump hints at Hillary Clinton’s assassination, saying her bodyguards should disarm - 'Let's see what happens to her'

Donald Trump hints at assassination of Hillary Clinton by gun rights supporters

Inatisha, Ukizingatia huyo mgombea mwingine na makauli yake ya kiugomvi ugonvi, wanaompenda usikute wanafanana nae na hawashindwi kufanya upuuzi kama huu.

Halafu the UN General Assembly I think start this week in NY, so you can Imagine the chaos with all this happening this weekend.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Do you know anything about the word INFLUENCE!? Do you know how many GOP voters will stay away because of this racist or vote for Hillary!?

Us voters who will cast the ballot are the ones to decide, forget about the so called "top Republicans"
 
  • Thanks
Reactions: kui
Do you know anything about the word INFLUENCE!? Do you know how many GOP voters will stay away because of this racist or vote for Hillary!?
Teach them!
 
Kwi kwi kwi kwi lol! In public anafanya kampeni kumpigia debe Hillary, lakini akishafunga pazia zake anatumia tunguli kumuangusha lol! JF aisee kuna vituko kweli saa nyingine huwa nacheka sana mambo ya humu jamvini lol!

Tehe, teh!, isijekuwa babu kafanya ndumba...lol
 
  • Thanks
Reactions: kui
American voters are very smart when it comes to making their final decision on who to vote for. They don't just vote for a person just because he or she is from their party.

Hapo hakutakuwa na tofauti na cuf kumyang'anya Sakaya kadi ya chama. Chama kitakuwa kimelipuuza sanduku la kura.
Next election itakuwa even harder to convince votets to vote for their candidate.
'Bitter pill to swallow'
 
Kwi kwi kwi kwi lol! In public anafanya kampeni kumpigia debe Hillary, lakini akishafunga pazia zake anatumia tunguli kumuangusha lol! JF aisee kuna vituko kweli saa nyingine huwa nacheka sana mambo ya humu jamvini lol!

Hahaha!, ni vituko mpaka basi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwenzenu kashuhudia kwa macho na mwili mzima, definition ya mlipuko ule kwa kiraia ni BOMU, hakuna msamiati mwingine.
Polisi wakichunguza wakaja na jina lingine huo ndio utakuwa ukweli kitaalam.
Ni kwetu tu wananchi hatutakiwi kunyanyua mdomo kuishuhudia jamii ulichokiona, sisi tunatakiwa kuamini tunachoambiwa.
Aseme jecha, aseme Lubuva, wakisema kina seif wanaulizwa "mmepata waaapi?" as if hivyo vitu havipatikani!!!!!
Labda tuseme ilikua ni pancha ya tairi la baiskeli, ukisema hivyo kuna watu wataamini kirahisi bila ya kuhoji.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kauli zake huyu ni za hatari sana, anaweza akatokea mwendawazimu mmoja akaamua kufanya kweli.

Kuna mwandishi alisema, baada ya huu mfano alitoa Trump kuhusu walinzi wa Hillary kupokonywa silaha kuwa what if atokee mwendawazimu mmoja anayemsikiliza kweli halafu ashambulie hao walinzi.
 
Haaa!!
Wanao fuatilia uchaguzi wa USA kwa kuangalia CNN utawajua tuu
 
We naye acha kukurupuka na kuja hitimisho la uzushi ambalo huwezi kulithibitisha kwa namna yoyote. Hizo link nilizoweka humu ni za CNN!? Watu wengine bana! Tafakari kwa kina kabla ya kukurupuka.

I meant MSM
Nakutakeni radhi hapo wakuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa huyu mama kisha kaa ikulu miaka chungu nzima akiwa na ushawishi wa kutosha. Yaliyofanyika yanaonekana, ni kipi hakufanya mpaka iwe kwa udi na uvumba lazima aingie ikulu???

AFYA YAKE INATIA SHAKA.

Anashinikizwa na mumuwe, maana anajua mkewe akingia Ikulu yeye atakuwa anatawala akiwa nyuma ya pazia.

Wanahusudu sana pesa, ukitaka kujua jaribu kufatilia foundation yao walio anzisha, sasa chunguza ni watu gani nchini Marekani, Uarabuni, Ulaya, Mashariki ya mbali nk wanao changia mfuko huo - utachoka! Uchangiaji ulipamba moto wakati Bi Clinton akiwa ni Waziri katika Serikali ya Obama, sasa chunguza huyo mama alikuwa anawahadi nini wachangiaji matajiri hasa wahunda silaha, military contractors, wamiliki wa Mabenki hasa masuala ya tenda Serikalini na mambo mengine ya kifisadi.

Group/Gang hilo lilisha muweka mfukoni Bwana na Bi Clinton ndiyo maana wanataka ashinde ili waendeleze ufisadi wao na kuchochea vita Duniani!

Wanafikia hatua ya ku-loby Majenerali jeshini watishe Bunge la Marekani kwamba Marekani imeanza kurudi nyuma kejeshi ili Serikali iongeze Budget ya ulinzi viwanda vya kuhunda silaha vifaidi, hilo likishindikana wananzisha machafuko/vurugu popote Diniani au wanahunda vikundi na kivipa mafunzo ya kijeshi na kuwapa silaha kujaribu kupindua watawala ambao wanawaona ni kiwingu katika njama zao za kupora mali asili za nchi husika, haya ndiyo yanayo endelea huko Syria, Libya, Ukraine, Yemen na Iraq.

Kama Hillary akishinda kinyanganyilo cha Urais, basi tutegemee atajaribu kuipiga mabomu Syria akiwa na lengo la kumuondoa madarakani Asaad kinguvu, hilo Hillary na wapambe/washauri wake wapenda vita hilo wamekwisha liweka wazi!!

Urusi na Iran hawatakabali Asaad aondolewe madarakani kwa njia yoyote ile labda raia wa Syria wakihamua wenyewe kumuondoa Asaad kwa njia halali ya upigaji kura, Warusi vile vile hawatakubali Syria kugawanywa na kuwa nchi mbili na kugehuka tanuru la kuzalisha magaidi ambao watakuwa tishio kwa Usalama wa Urusi, Uchina na Dunia nzima.

Binafsi naona Wamerika wakiendeleza mbinu zao za kuchochea ugaidi huku wakijifanya wanakabiliana nao - kunyune chake wanawapa silaha na ku finance magaidi/waasi operations za kupigana na jeshi la Syria, Marekani inashindwa au haitaki kuonyesha Warusi sehemu magaidi walipo jichimbia ili watokomezwe, wakiambiwa waonyeshe ramani walipo magaidi/waasi basi USA inaendelea kupiga dana dana na kupoteza muda, ukweli ni kwamba haina nia thabiti ya kukabiliana na magaidi wanao tishia amani Duniani ndege zao x zinaishia kupiga sand dunes badala ya kupiga magaidi - Airforce ya nchi za NATO specifically the USA wamekaa huko middle East zaidi ya miaka mitatu - they have nothing to show wanafanya maigizo tu huku magaidi wanapashwa kuwa contain wakiendelea kuwa tishio Duniani!! - Haya leo magaidi wamelipua mabomu huko huko Marekani, lakini Serikali yao watadai milipuko hiyo imesababishwa na kuvuja kwa gesi ya kupikia - wamejaa majivuno na kijiona wao zaidi, mambo yenyewe kama ndiyo haya,wasipo jirudi ujinga huu wa majivuno ndiyo utawamaliza labda ashinde TRUMP.

Tukirudi kwenye mada hasa kuhusu Syria ambako miaka ya hivi karibuni ndiyo kunaonekana ndiyo breeding ground ya magaidi wakatiri sana, Warusi walishtukia hilo.ndiyo maana wanapambana nao vilivyo kwa kutumia ndege na Helicopters wakishirikiana na Iran, Jeshi la Syria na marafiki zao, wamefikia hatua nzuri ya kutokomeza magaidi/waasi nchini Syria, alafu wanajitokeza Wamerikani wanaleta zuga yao eti Warusi na jeshi la Syria wasimamishe mapigano kwa muda na jeshi la Syria lirudishe jeshi nyuma kuruhusu raia wapate msaada wa chakula na maji - kinyume chake Merakani wanatumia window of opportunity kuhami tena waasi/magaidi upya alafu Merikani wanatuma ndege kushambulia kambi ya jeshi la Syria wako desparate kusaidia waasi/magaidi leo Amerika imeshambuliwa na magaidi sasa Obama na Hillary watatoa visingizio gani kwa wanachi kwamba Putin na Trump wanahusika!

Jana Dunia ndiyo ilishuhudia unafiki wa Uncle SAM wa kushambulia majeshi ya Taifa huru bila sababu, sina shaka Urusi ilijua tangu mwanzo kwamba kuna uwezekano mkubwa USA ku act irrationally kama kawaida yao and they did! Sasa Urusi imekwisha pata green light haitajali kushambulia waasi/magaidi real na moderate itakuwa ni blanket/carpet bombing 24X7 maana hiyo ndiyo lugha wanayo taka US na washirika wake, sasa Amerika ijitie kukasirika ikataka kupigana/kabiriana na Warusi ana kwa ana, basi huo ndiyo utakuwa ni mwanzo wa vita ya tatu ya Dunia ambavyo vitakuwa vya mwisho; Mabara ya Ulaya, Asia na Marekani kwenyewe yatachakazwa back to stone age era.

Hillary akishinda ana choice mbili: la kwanza, akubali kuhangamiza Dunia kutokana na msimamo wake hatarishi akumbuke kwamba na Marekani utakuwa kwenye mkumbo huo, la pili - akukubali kuacha kuwa Empress of Choas na warmonger akae chini na Viongozi wenzake Duniani wamaliza migogoro ya kuchonga kwa njia ya kidiplomasia, Merikani ikubali vile vile kusitisha kuwapa mafunzo,silaha na fedha magaidi/waasi - America ikubali kwamba kuna keyplayers wengine kwenye masuala ya Geopolitics hivyo nchi yake inapo taka kufanya jambo fulani kwa maslahi yake lazima iwekee maanani interest za Mataifa ambayo hivi sasa yana uwezo zaidi wa kijeshi na wamekwisha jipanga jinsi ya kuipa fundisho la mwaka USA ikianzisha vita vya kushtukiza.

Mataifa kama:Urusi na Uchina yamejizatiti kweli kweli - US ikijifanya ni exceptional watawachangia na kupigwa kweli kweli nchi hizo hazitajali kupoteza mamia ya mamillioni, walishapitia kwenye kadhia ya namna hiyo wakati wa vita ya pili ya Dunia, mfano: Urusi ilipoteza watu zaidi ya millioni ishirini, Uchina walipoteza makumi ya mamillioni wakati Merikani walipoteza laki tano tu na vita walipigana kwenye Bahari ya Pacific walipokuwa wamebanwa vilivyo na Wajapan baadae wakaja kupigana Ulaya wakati jeshi la Hitler limekwisha malizwa nguvu na Warusi lakini ukisoma vitabu vya historia nchini mwao wanasema wao ndiyo walishinda vita ya pili ya Dunia - zuga tu.

Narudia kukumbushia kwamba Amerika ikijisahau akajaribu kushambulia moja ya nchi hizo mbili, mapigano safari hii yatakuwa tofauti kabisa maanake Wachina na Warusi watataka ku deal na Wamerikani once and forall awatajali hasara watakazo pata nchini Uchina na Urusi lakini at least watakuwa wamesadia Dunia kuondokana na Taifa korofi na hatari - kama Urusi iliwahi kushinda majeshi ya kivamizi ya Alexander the Great, Napoleon Bonaparte na Hitler, sina shaka historia itajirudia.

Kama nilivyo dokeza hapo mwanzo if worst comes to worst Wachina na Warusi watahakikisha mashambulizi yanaelekezwa huko huko Marekani, Mataifa hayo mawili yana delivery system za speed ya kufa mtu, ndani ya dakika ishirini mpaka thelathini makombora yao yatakuwâ yametuwa Barani Merikani na payload ya Teratonne za TNT , bahati mbaya USA haina system yoyote kwenye inventory zao zenye uwezo wa kuzuia makombora ya speed kali ya kiwango hicho - and they know it, THAAD haina tracking aligorithms za ku deal na mabombora ambayo mwelekeo wake ni highly unpredictable.
 
Kama kuna mtu hatakuelewa pengine ana ujasiri wa kujitoa muhanga

Back
Top Bottom