Explosion In New York, 29 Injured In Manhattan Explosion

Yeah!, halafu kwao New Jersey familia yake ilisha korofishana na police, so usikute waliwekwa radar

He is still a suspect hajawa charged yet.

Kuna mtu alimwona pale eneo la Linden amelala nje ya bar na watu wakapiga simu polisi.

Walidhani ni homeless na pale mahala homeless wengi wanajulikana.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Huyo wa juu hilo jicho analompa, anaonekana kuboreka haswa..lol

Jamani tuseme ukweli FBI wamekuwa fast, how long did it take Belgians kukamata wale terrorists?

Belgium hawakuwahi kupata hii mikikimikiki.

Sasa hivi nao wapo quick.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Fingerprints

Wenzetu wako mbali sana na hii makitu.

Aliacha fingerprints kwenye begi na simu ya mkononi.

Kwa vile vipo kwenye database inakuwa ice on cake.

Wako mbali mno, inarahisisha sana kila kitu.

Huyu nae sio mzoefu kabsa, yaani kashika kila kitu bila gloves, anacheza na wazee wa kazi huyu.
 
Mifumo tu ya Marekani kama social security no na kadhalika inawarahisishia mambo mengi kumtrace mtu
na hata mipango miji

Sasa mtu apotelee Tandale kwa tumbo utampataje ndani ya masaa 24?

Mkuu, mara nyingi wanaowasaidia law enforcement ni haohao wahalifu, wanaweza hata kuuzana kwa polisi.

Unaongeza tu dola kadhaa kwenye package ya job seekers allowance na mambo yanakwenda sawa.

Au unawabadilishia menu za uhakika kama vile pizza, Chinese Take Away na kadhalika unapata info.

Mtu ana muda hajawahi kula fried rice na roasted chicken si unamchanganya?

lol
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mifumo tu ya Marekani kama social security no na kadhalika inawarahisishia mambo mengi kumtrace mtu
na hata mipango miji

Sasa mtu apotelee Tandale kwa tumbo utampataje ndani ya masaa 24?

Haha!, eti Tandale kwa tumbo.

Hivi ni kweli The Boss, imewachukua less that 48hrs kumpata!
 
He is still a suspect hajawa charged yet.

Kuna mtu alimwona pale eneo la Linden amelala nje ya bar na watu wakapiga simu polisi.

Walidhani ni homeless na pale mahala homeless wengi wanajulikana.

Anachekesha kweli, yaani kaenda kujianika wakati his pic was already all over the place.
 
CsujNi9XgAEJPC5.jpg
 
Very fast........scary ......
usikute alikuwa kwenye 'watch list' siku nyiingi

Haya mambo huwa ni hit or miss.

Iliwachukua muda gani kuwapata wale wa Boston?

Iliwachukua muda gani kumpata Timothy McVeigh?

Ndiyo, wako vizuri lakini huwa hawafanikiwi mara zote.

Wakati mwingine huwachukua muda sana.

Na huyu wa juzi kapatwa haraka kwa sababu wala hakuwa kajificha kivile.

He probably didn't care to hide anyway.

Kwa hiyo unaweza ukawamwagia sifa FBI when in fact their job was made easy by the suspect himself.

Dude didn't really try to hide.

He was found sleeping in a bar hallway or something like that.

Is that someone who really tried to evade capture?

I don't think so.

He, the suspect, made the cops job easy.
 
Mkuu, mara nyingi wanaowasaidia law enforcement ni haohao wahalifu, wanaweza hata kuuzana kwa polisi.

Licha ya kuuzana wao kwa wao, wakati mwingine jitu linakuwa hata halijali kama likikamatwa au la.

Mtu ambaye hataki kukamatwa kiharaka na kiurahisi atafanya juu chini kuifanya kazi ya law enforcement iwe ngumu.

Kwenye hili mimi naona huyu bwana wala hakutaka kujificha.

Mtu ambaye angetaka kujificha asingeendelea kuwepo karibu karibu hivyo.

Angeenda hata Mississippi huko ili tu akajifiche lakini si kubaki kwenye vicinity.

Unawakumbuka wale snipers wa DC?

Iliwachukua muda gani polisi kuwapata?
 
Ni kweli, lakini huyu jamaa tayari fingerprints zake zipo kwenye database.

Aliwahi kukamatwa kwa kosa la "aggravated" assault na kumiliki silaha kinyume cha sheria.

Na wakti ule akaweka bail ya $25,000 na jury haukumtia hatiani.

Hivyo huyu taarifa zake (fingerprints) zilikuwa available.

Kwahio ikitokea issue kama hii unapriotise watu kama hawa kwanza kulingana na profile ulizo nazo.
 
Sawa, pamoja na yote hayo, yeye ndiye kaifanya kazi ya polisi kuwa nyepesi.

Ni sawa na umtongoze demu ambaye muda wote alikuwa anakutamani.

Unamtongoza kidogo anakukubalia..basi unajiona bingwa mwenyewe..kwamba una sumu kali.

Kumbe hamna lolote. Ni yeye tu ndo kafanya ujione na kujisikia hivyo.

The guy didn't try to hide.

He is not a professional terrorist.

His work was very amateurish.

Hata location aliyoichagua inaonyesha ni jinsi gani alikuwa hata hajui anafanya nini.
 
Sawasawa ataeleza yote huko ndani na atataja walomtuma.
 
In situations like this, you need to act quickly and swiftly, in order to prevent further carnage.

They needed to act fast and they acted fast, ukizingatia walipata other back packs with bombs inside.
 
They needed to act fast, ukizingatia walipata other back packs with bombs inside.

Inanikumbusha ile picha aliyocheza Samuel L. Jackson kama interrogator/mtesaji-mkuu inaitwa kwa title ya ''Unthinkable'', ambapo mtuhumiwa wa mabomu alikuwa mgumu sana kutoa maelezo ''mabomu'' mengine ameyatega wapi pamoja na ''vipigo na mateso zaidi ya msitu wa 'Mwabepande''.
upload_2016-9-19_22-42-38.jpeg

Sasa kwa huyu mtuhumiwa sijui watatumia njia gani kupata ''full story'' ya ''mpangaji, mfadhili, mtekelezaji, engineer-wa-mabomu-ya-kienyeji na washirika wake kama wapo'' ktk kutekeleza ''ugaidi'' huu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Inanikumbusha ile picha aliyocheza Samuel L. Jackson kama interrogator/mtesaji-mkuu inaitwa kwa title ya ''Unthinkable'', ambapo mtuhumiwa wa mabomu alikuwa mgumu sana kutoa maelezo ''mabomu'' mengine ameyatega wapi pamoja na ''vipigo na mateso zaidi ya msitu wa 'Mwabepande''.
View attachment 403302
Sasa kwa huyu mtuhumiwa sijui watatumia njia gani kupata ''full story'' ya ''mpangaji, mfadhili, mtekelezaji, engineer-wa-mabomu-ya-kienyeji na washirika wake kama wapo'' ktk kutekeleza ''ugaidi'' huu.

Yeah, hapo ndo itakuwa more interesting.
Hawa jamaa nao wakiamua kupata kitu au mtu lazima watimize malengo. Hawaachi hata kama itachukua miaka.

Huyu na hivi originally katokea huko wanakopigana, watamfinya haswa, unless kama ame act as a lone wolf.
 
Huyu inaelekea ni lone wolf. Walikuwa na family business New York City ambayo inaelekea ilikuwa inafanya vizuri. Majirani na ilipokuwa biashara yao wakalalamika kuhusu kelele saa za usiku wakapewa onyo lakini kelele ziliendelea. Business ikafungwa kwa sheria za Jiji sasa si ajabu kukata kwa income kimesababisha maisha yawe magumu, lakini inawezekana pia hayuko pekee yake na kuna mengine zaidi ya hili la biashara yao kufungwa.

Na kwenye camera naona ameonekana pekee labda kama kuna mwingine.
Sasa wote waliomzunguka watakuwau under surveillance na hiyo biashara sijui kama itakuwepo tena.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom