Explosion In New York, 29 Injured In Manhattan Explosion

Explosion In New York, 29 Injured In Manhattan Explosion

  • Thanks
Reactions: BAK
Ni watu wa ajabu sana hawa, halafu cha kusikitisha zaidi mpaka sasa sijasikia kauli ya prominent GOP member yeyote yule kukemea kauli kama hii.

Asee!, hivi wanao muunga mkono wanafikiria nini?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ni watu wa ajabu sana hawa, halafu cha kusikitisha zaidi mpaka sasa sijasikia kauli ya prominent GOP member yeyote yule kukemea kauli kama hii.

Nashindwa kuelewa sijui hata wameisha kata tamaa. This's not a joke, wasije shtuka when it's already too late to do anything.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
No Kui this IMO is not a joke especially taking into consideration of his position in GOP. Necessary precautions should be taken asap.

Ni kweli hizi ni dalili za kukata tamaa sasa wameamua kuanza kutumia kauli za vitisho.

Nashindwa kuelewa sijui hata wameisha kata tamaa. This's not a joke, wasije shtuka when it's already too late to do anything.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Halafu media wanambeba huyu, nashindwa kuelewa wanaosema media iko biased kwa Hillary zaidi kuliko Trump. Hawaongelei ya maana sana kama hivi zaidi ya drama zake za kila siku.

Juzi naona NY times ndo wameamua kumchimba zaidi kwa kutaka kujua kwa nini court ili seal documents of his first divorce ambayo ilikuwa na utata.

'The divorce was granted on the ground of "cruel and inhuman treatment"

Gannett and N.Y. Times ask court to unseal 1990 Trump divorce records
 
  • Thanks
Reactions: BAK
No Kui this IMO is not a joke especially taking into consideration of his position in GOP. Necessary precautions should be taken asap.

Ni kweli hizi ni dalili za kukata tamaa sasa wameamua kuanza kutumia kauli za vitisho.

Yeah, that's probably their best bet.
Lakini, if GOP heavyweights come out in full swing, maybe they'll be able to stop this craziness. Cos wanaoongea ovyo on his support, ndo hawa wa mwanzoni.
 
Mkuu Kui, nasikia hiyo sehemu ya Chelsea ni maarufu sana hapo Manhattan?

Tayari wachunguzi wamelink the two devices na tusubiri more info.

Hadi sasa taarifa ni kwamba device ya kwanza iliwekwa kwenye nyumba ya Associated Blind Housing facility namba 135 West 23rd Street.

Kifaa kingine kimekutwa hakijalipuka lakini kimefungwa na kuzungushiwa tape kati ya pressure cooker na mobile phone kwenye nyumba ingine mtaa wa West namba 27.

Kama upo maeneo hayo take care.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mkuu Kui, nasikia hiyo sehemu ya Chelsea ni maarufu sana hapo Manhattan?

Tayari wachunguzi wamelink the two devices na tusubiri more info.

Yeah it is, naona huyu/hao wameiga ile Boston bombing style. Lakini afadhali haikutokea kwenye mkusanyiko wa watu wengi, ingekuwa mbaya zaidi.
 
Yeah it is, naona huyu/hao wameiga ile Boston bombing style. Lakini afadhali haikutokea kwenye mkusanyiko wa watu wengi, ingekuwa mbaya zaidi.

Ya pia yanafanana na yale ya New Jersey.

Kuna habari tayari vijana wa kisomali wamehusika, lakini bado ni too early kuwalink moja kwa moja.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Lakini kama unapafahamu vizuri hapo Chelsea unaweza kupata baadhi ya theories kuhusiana na hii scare.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Lakini kama unapafahamu vizuri hapo Chelsea unaweza kupata baadhi ya theories kuhusiana na hii scare.

Zipi hizo Richard kuhusiana na Chelsea, popularity yake ya gay bars once?
 
Daktari bingwa wa masuala ya forensic amemgeuzia kibao Putin, anasema amemlisha/kumpulizia sumu Clinton inayo msababishia matatizo ya kiafya - hawataki kusema mama huyu matatizo ya kupata fits yalianza zaidi ya miaka sita iliyopita anatumia madawa on regular basis ya kuzuia convulsions, si hilo tu ana pia ugonjwa wa Parkinsons amekuwa nao zaidi ya miaka kumi na tano, anatumia Depomine kwa muda mrefu ndiyo inamfanya aonekane ana eye bags na kuonekana mzee zaidi licha ya kufanyiwa face lift ili aonekane kijana, sasa effect za kutumia DEPOMINE kwa muda mrefu ufanya watumiaji nyuso yao zionekane zimechoka, linaganisha sura ya Trump ambaye kamzidi Clinton miaka sita nani anaonekana kachoka.
mkuu....unazingua...ya wataalamu waachie wenyewe.......
 
Nasikia eneo la tukio si mbali na hiyo club.

Kulikuwa na message ya mhusika walipata ktk eneo sikumbuki exact words alisema kwa nini kafanya hivi or, if it has anything to do with LGBT
 
BBwkZxx.jpg

Police name and released a picture of Chelsea bombing suspect. 28 yrs old Ahmad Khan Rahami.
 
Kulikuwa na message ya mhusika walipata ktk eneo sikumbuki exact words alisema kwa nini kafanya hivi or, if it has anything to do with LGBT

new-york1.jpg

Wamarekani siku si nyingi wataondoa Dual Citizenship kwa nchi fulanifulani..

Wanamsaka huyo kijana wa Afghan ana passport mbili.
 
  • Thanks
Reactions: kui
new-york1.jpg

Wamarekani siku si nyingi wataondoa Dual Citizenship kwa nchi fulanifulani..

Wanamsaka huyo kijana wa Afghan ana passport mbili.

Ni M Marekani pia kumbe?
 
Yes, ana passport mbili ya Afghan na US.

Kuna wasiwasi kwamba ipo cell mahali ndiyo ilipanga hii carnage na ni foreign cell.

Asee, shughuli pevu hii.
 
Asee, shughuli pevu hii.

Shughuli ngumu sana lakini atakamatwa tu au kuuawa hatochukua muda.

Tatizo ni jinsi ya kukabiliana na ushawishi wa ISIS mitandaoni hili ndili linaleta matatizo sana.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom