jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,368
Angalieni msije mkasema Trump ndiye alimloga bibi Hillary mpaka akazimia siku ya septemba ileveni.Naona Trump anahusika ili ajijengee mazingira ya ushindi.
Angalieni msije mkasema Trump ndiye alimloga bibi Hillary mpaka akazimia siku ya septemba ileveni.Naona Trump anahusika ili ajijengee mazingira ya ushindi.
Yes Kui, another one.
Sasa huyu mama kisha kaa ikulu miaka chungu nzima akiwa na ushawishi wa kutosha. Yaliyofanyika yanaonekana, ni kipi hakufanya mpaka iwe kwa udi na uvumba lazima aingie ikulu???Wanalogana pia?,...lol!
Sasa huyu mama kisha kaa ikulu miaka chungu nzima akiwa na ushawishi wa kutosha. Yaliyofanyika yanaonekana, ni kipi hakufanya mpaka iwe kwa udi na uvumba lazima aingie ikulu???
AFYA YAKE INATIA SHAKA.
Sasa huyu mama kisha kaa ikulu miaka chungu nzima akiwa na ushawishi wa kutosha. Yaliyofanyika yanaonekana, ni kipi hakufanya mpaka iwe kwa udi na uvumba lazima aingie ikulu???
AFYA YAKE INATIA SHAKA.
Wanalogana pia?,...lol!
Sijaondoa stahili zake!Kuishi WH na kugombea Urais wa US ni vitu viwili tofauti havina uhusiano wowote ule. Huwezi kusema huyu ameshawahi kuishi WH hivyo hastahili kugombea nafasi ya kuwa Rais wa USA.
Sijaondoa stahili zake!
Nimedodosa kwa namna ya mshangao na upambanuzi kama siyo mlinganyo.
Haki yake ya kugombea ipo pale pale.
Afya yake sii madhubuti.
Ameonyesha kuwa sii msikivu anaposhauriwa
Namuongelea Hillary,
Alishauriwa na Daktari wake apumzike siku kadhaa kabla ya kuendelea na kampeni zake.
Akapuuza ushauri wa kitaalam ambao faida zake ni zake binafsi, matokeo yake wote tunayajua pale ground zero kilichompata.
Hii maana yake akiwa amiri jeshi mkuu anaweza kupuuza ushauri wa wachumi na nchi ikajikuta inatikiswa na uchumi.
Jiulize ni kwanini racist Trump amekuwa mgombea wa kwanza katika historia ya GOP kutoungwa mkono na wengi waliowahi kushika nyadhifa mbali mbali ndani ya GOP/Goverment/Senate na Congress ikiwemo bush 41 & 43!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona Trump anahusika ili ajijengee mazingira ya ushindi.
Angalieni msije mkasema Trump ndiye alimloga bibi Hillary mpaka akazimia siku ya septemba ileveni.
I hope watu wengi watasoma na kuelewa ulichoandika.Daktari bingwa wa masuala ya forensic amemgeuzia kibao Putin, anasema amemlisha/kumpulizia sumu Clinton inayo msababishia matatizo ya kiafya - hawataki kusema mama huyu matatizo ya kupata fits yalianza zaidi ya miaka sita iliyopita anatumia madawa on regular bases ya kuzuia convulsions, si hilo tu ana pia ugonjwa wa Parkinsons amekuwa nao zaidi ya miaka kumi na tano, anatumia Depomine kwa muda mrefu ndiyo inamfanya aonekane ana eye bags na kuonekana mzee zaidi licha ya kufanyiwa face lift ili aonekane kijana, sasa effect za kutumia DEPOMINE kwa muda mrefu ufanya watumiaji nyuso yao zionekane zimechoka, linaganisha sura ya Trump ambaye kamzidi Clinton miaka sita nani anaonekana kachoka.
Link tafadhaliDuh pole zao, Wamarekani wanalo, watampigia kura huyo wazimu hata kama kwa kuburuzwa, halafu mama haeleweki tena baada ya kulemewa na nguvu za mwili. Pameibuka mijadala ya kila aina, ukifuata kule Quora ndio noma.
Swali lako linatia shaka kama unalijua neno HISTORY lina maana gani.
Kwa maana ili iwe history lazima itukie ndipo inakiliwe kuwa kumbukumbu rejea.
Jambo unalotaka nijiulize ndio linaanzia kwa Trump kwa maana hiyo hakuna ajuaye matokeo ya kutokuungwa mkono na GOP.
Wapiga kura wataamua.
Tiririka huku, kuna mijadala mingi imeibuka ambayo imejaa consiprancies, facts na full vijembeLink tafadhali
Us voters who will cast the ballot are the ones to decide, forget about the so called "top Republicans"