Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,021
- 142,913
Yes, ana passport mbili ya Afghan na US.
Kuna wasiwasi kwamba ipo cell mahali ndiyo ilipanga hii carnage na ni foreign cell.
Huyo jamaa ndo alitumwa na Trump kutega hayo mabomu ili yeye [Trump] achaguliwe?
😀😀😀