BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Hata wateja wataisusa biashara husika. Hawa watu wengine wanashangaza sana kwanini utake kuua na kujeruhi binadamu wenzio wasio na hatia yoyote ile!?
Na kwenye camera naona ameonekana pekee labda kama kuna mwingine.
Sasa wote waliomzunguka watakuwau under surveillance na hiyo biashara sijui kama itakuwepo tena.