Executive Agencies Act No 30 inaelekeza Mtendaji Mkuu wa Tanroads kuteuliwa na Waziri wa Ujenzi na sio Rais

Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads .

Nimeambatanisha hapa chini sasa sijui Mh Rais Samia Suluhu Hassan imekuwaje mpaka kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads..!

Hayati Magufuli alimteua Hayati Eng. Mfugale May 24 2011 kipindi hicho hayati Dkt. Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.View attachment 1874079View attachment 1874080
Huyu mama huwa anaingizwa chaka, kumbuka alisema wakati wa kifo cha mwendazake maombolezo yatakuwa siku 14, chama kikasema siku 21 sambamba na tamko la serikali
 
sasa hao bavicha hapo juu I hope wataelewa, au watafute kitabu ccha "administrative law" cha chipeta, kitawasaidia kama laymen.
Mtoa mada sio Bavicha na hakukuwa na ulazima wowote wa Rais kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads.
 
wewe mbumbumbu, separation of powers ina maanisha "executive, legislature, judiciary" kwa kiswahili kama huelewi ni, Serikali, Bunge na Mahakama. Waziri yupo legislature au judiciary au yupo executive? utasemaje Mkuu wa executive anapotenda jambo ndani ya mhimili wake na wewe unaleta hoja ya separation of powers? do you even know its meaning?
Umekariri
 
Magufuli alimteua James Kilaba kuwa DG wa TCRA wakati sheria inasema ni waziri ndiye ana power ya kuteua.

Magufuli siyo sheria, na kwa kumbukumbu zangu sikumbuki yupi alimteua ambaye hakupaswa kuteuliwa nayeye. Taja hata mmoja kuniprove wrong
 
Kauli ya Rais ni sawa na sheria

Rais akizungumza anazungumza kwa niaba ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Akimteua Mkurugenzi au kumtumbua basi amefanya kwa niaba yetu na tunamuamini.

Kwa msingi huo basi; Rais ni mamlaka ya juu ya teuzi na tenguzi.

Rais yuko sahihi ktk uteuzi wa Mkurugenzi wa TANROADS Kwa sababu haiwezekani wa chini awe na power halafu wa juu asiwe na power
 
Pumbavu, Even excutive itself has separation of power to which it belongs. Ndiyo kama hii ya kumteua mtu ambaye hakustahili kuteuliwa.
Kwenye Executive hakuna msamiati unaoitwa separation of power

Separation of power ni kati ya bunge, mahakama na serikali
 
Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads .

Nimeambatanisha hapa chini sasa sijui Mh Rais Samia Suluhu Hassan imekuwaje mpaka kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads.

Hayati Magufuli alimteua Hayati Eng. Mfugale May 24 2011 kipindi hicho hayati Dkt. Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.View attachment 1874079
Samia urais hauwezi.
 
akiteuliwa n a Rais ni kosa kwasababu Waziri yupo juu ya Rais au vipi, mbona hamueleweki. hivi pamoja na yote, mnamjua boss wenu namba moja hapa nchini ni nani? ambaye hata ukiteuliwa na Rais akiamua kukufukuza anakufukuza dakika?
Mkuu elimu yako inafika hata ya kidato cha nne??samahani sana kwa kuuliza hilo!!tuanzie hapo kwanza!!
 
Kwenye Executive hakuna msamiati unaoitwa separation of power

Separation of power ni kati ya bunge, mahakama na serikali
Mkuu usikariri. Tafsiri isiyo rasimi ya maneno separation of power kwa kiswahili ni mgawanyo wa madaraka. Sasa kama shule tu ya upili inamgawanyo wa madaraka kati ya Mkuu wa shule, mwalimu wa kawaida na kiranja mkuu. Sasa kivipi excutive isiwe na mgawanyo wa mamlaka?
 
Haiwezekani Waziri awe na madaraka ambayo Rais hana

Haiwezekani. Ikimfaa anafanya yeye
 
Aina Za Katiba
(a) Katiba Iliyoandikwa (Written Constitution)
(b) Katiba Isiyoandikwa (Unwritten Constitution)

Sisi Kwenye Mambo Mengi Sana Ni Vurugu Tu
 
Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads .

Nimeambatanisha hapa chini sasa sijui Mh Rais Samia Suluhu Hassan imekuwaje mpaka kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads.

Hayati Magufuli alimteua Hayati Eng. Mfugale May 24 2011 kipindi hicho hayati Dkt. Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.View attachment 1874079
Tengua Basi uteuzi wake!!!
 
Back
Top Bottom