Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

Nasikia maendelezo yake ya sasa hivi yanahusiana moja kwa moja na fedha za kusaidia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu. Kuna ushahidi.
 
MUNGU wangu wapinzani tutaendelea kuwa wapinzani milele na CCM itaendelea kuwa the majority Bungeni.GOD forbid.Something has to be done haraka iwezekanavyo to prevent this..haikubaliki kabisa.
 
Tatizo ni aina ya wapinzani unaowategemea kuwa msaada? nionavyo mimi wapinzani wetu wamekuwa liability zaidi kuliko msaada...

upinzani wa kweli ni kutoka kwa mtu moja moja ...kuliko viongozi wa siasa? wanaboa daily....

wanabadilika nyuso zao afadhali hata hao ccm? tunajua ni mafisadi kuliko unafiki wa upinzani
 
Pamoja na hayo hatuwezi kuwaachia CCM wazidi kuneemeka kwa kuiibia nchi..ni heri waendelee kuwa madarakani kihalali lakini sio kwa njia z panya kama hivi wanavyofanya..shame on them..yaani wanuza kila kitu..mwisho sasa tutauzwa hata na sisi wenyewe..
 
Picha mie naziona, hivyo inaweza kuwa ni tatizo kwa baadhi ya watu nashukuru mimi si miongoni mwao MM wasaidie.
 
Kununua ardhi baharini hivyo kwa wakati huu wa rising sea levels ni ushamba tu.
 
Pamoja na hayo hatuwezi kuwaachia CCM wazidi kuneemeka kwa kuiibia nchi..ni heri waendelee kuwa madarakani kihalali lakini sio kwa njia z panya kama hivi wanavyofanya..shame on them..yaani wanuza kila kitu..mwisho sasa tutauzwa hata na sisi wenyewe..

Well, itabidi mtu moja moja awapinge mafisadi wa ccm, kutegemea wapinzani wanasiasa mtachelewa sana kuiokoa nchi...yetu
 
Picha safi lakini maeneo machafu:eek:
Wauze tu!
Nalia yele:rolleyes: (purely and clearly in a mixed emotions stance)

Hakika tunakwenda kuwa nchi tajiri kweli kweli nyumba baharini:p

Watakula harufu ya nyuma ya miili kama yale ya ocean beach hapa!

Tutapelekana vivi hivi Kaaa!
 
Nasikia maendelezo yake ya sasa hivi yanahusiana moja kwa moja na fedha za kusaidia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu. Kuna ushahidi.

Itafika siku hawa wanaojiona majogoo hivi sasa watakuwa wanasombwa na kalandika kuwapeleka Segerea time is on our side.
 
Waacheni watujengee, gharama za ujenzi siku hizi ni kubwa mno. Wakishamaliza kujenga na sisi wananchi tukajiridhisha kuwa jenzi zote zimekamilika ndipo unafika wakati wa kutwaa kilicho chetu. Muda wa kuendelea kuwa wavumilivu unaelekea ukingoni, NI MUDA TU NDO UTAELEZA.
 
Rais yeyote anayeingia madarakani anatakiwa asafishe mess za waliomtangulia. Mwinyi, Mkapa & JK wote nawaweka kwenye chungu kimoja ktk hili.
 
Ilipouzwa jimkana grounds kujengwa Sheraton, kelele zilipigwa, lakini Mwinyi huyuhuyu akaweka gundi masikioni...na Mradi ndio ule, haujalipa kodi toka siku ya kwanza. Na Mwinyi naye bado yupo. kwanini asiitwe na wanahabari ajibu maswali tata kama haya? Au naye ni indispensable kama Mkapa? Labda yule aliyemchapa kofi alikuwa na hasira hizi.

Something has to be done kwa kweli, ingawa sijui ni kitu gani.
.
Kiwanja cha Sheraton, kilishatolewa tangu enzi za Nyerere kwa wamiliki waitwao Complexe LTD, ndio walionunua Califonia dreamer, hayo mahoteli yote ni wapangaji tuu, kama lilivyo jengo la Haidery Plaza, kiwanja ni cha Mama Siti.
 
Ubaya wa hizi internet new forms of media kama JF ni kwamba hakuna uwajibikaji wa kiasi kinachotakiwa kwajili ya uandishi wa habari ulio ethical and objectivity is non-existent. Ulianzisha thread umekuwa kama Michael Moore, mwishoe no one will take you seriously. Hizi plot ziko chini ya Manispaa na wao wametoa lease kwa watu watakao wekeza kwenye non-permanent forms za businesses on the front, after EIA zikifanyika ili kujua jinsi yakucontrol pollution of the area. Watajenga non-permanent features za kimakuti makuti... sio on a sea cliff level tho. The aim is to provide entertainment ya drive in cinema na food areas na vitu kama hivyo kwaajili ya watu kuenjoy ufukwe. Sijui kama utekelezaji utakuwa kama ilivyosemwa, perhaps not, lakini naomba tuwe objective. This is very low objectivity, kama tupo Venezuela bwana au Saddam's Iraq.lol

Najua of course this area wahindi wamemezea mate muda mrefu, ni hawa wahindi wa cinemax wamepewa amongst a few others as far as I know. Najua lazima rushwa imetembea lakini kuna employment itatokana na haya. The only major thing is that, mazingira yasiharibiwe thats all. That area kunavibaka, ni mtaa yetu wengine tunapajua vizuri. Bora watu wapate ajira bwana. Kwani kitu gani.
 
dah nchi yangu tanzania, utafika wakati hata kwenda baharini kutakuwa kwa matabaka tu, just imagine kila aliyejenga baharini awake ukuta sasa kina siye sijui tutapitia wapi kwenda huko, huwa awatosheki hawa viongozi, mwinyi anaitwa alhaji, subutu yani watu wamejaa ubinafsi tu. pokaaa
 
Ubaya wa hizi internet new forms of media kama JF ni kwamba hakuna uwajibikaji wa kiasi kinachotakiwa kwajili ya uandishi wa habari ulio ethical and objectivity is non-existent. Ulianzisha thread umekuwa kama Michael Moore, mwishoe no one will take you seriously. Hizi plot ziko chini ya Manispaa na wao wametoa lease kwa watu watakao wekeza kwenye non-permanent forms za businesses on the front, after EIA zikifanyika ili kujua jinsi yakucontrol pollution of the area. Watajenga non-permanent features za kimakuti makuti... sio on a sea cliff level tho. The aim is to provide entertainment ya drive in cinema na food areas na vitu kama hivyo kwaajili ya watu kuenjoy ufukwe. Sijui kama utekelezaji utakuwa kama ilivyosemwa, perhaps not, lakini naomba tuwe objective. This is very low objectivity, kama tupo Venezuela bwana au Saddam's Iraq.lol

Najua of course this area wahindi wamemezea mate muda mrefu, ni hawa wahindi wa cinemax wamepewa amongst a few others as far as I know. Najua lazima rushwa imetembea lakini kuna employment itatokana na haya. The only major thing is that, mazingira yasiharibiwe thats all. That area kunavibaka, ni mtaa yetu wengine tunapajua vizuri. Bora watu wapate ajira bwana. Kwani kitu gani.

Sikujua wewe ni mtetezi wa wahindi wa bongo! Je wanakushirikisha wanaponunua majumba london kwa hela za walipa kodi za bongo...i would think twice abt siding with any of them, ajira aint shit to how much money these guys stash abroad!
 
Najua of course this area wahindi wamemezea mate muda mrefu, ni hawa wahindi wa cinemax wamepewa amongst a few others as far as I know. Najua lazima rushwa imetembea lakini kuna employment itatokana na haya. The only major thing is that, mazingira yasiharibiwe thats all. That area kunavibaka, ni mtaa yetu wengine tunapajua vizuri. Bora watu wapate ajira bwana. Kwani kitu gani.

this is a very dangerous line of thinking; kuna sababu gani ya kuwapeleka mahakamani kina Lukaza? Kwanini tunalalamikia mambo ya EPA kama mafisadi waliweza kuchota hizo na hela na kusaidia kuanzisha biashara zilizotoa ajira? Yaani mwizi akifanikiwa kuiba fedha zako halafu akarudi mtaani hapo hapo na kuanzisha biashara ina maana zile fedha zake zimehalalishwa kwa sababu sasa anauza maembe, nazi na vitunguu ambavyo watu wanavihitaji?

Kwa vile, tukiuza hayo maeneo kutakuwepo na ajira basi tuyauze tu? Kwanini tusiamue kuuza Loliondo na kutoa ajira (oops. we already did that); kwanini tusiuze Buhemba ili tutoe ajira na kupata kipato (oops we did that too); leo hii wanajipanga kuuza na ile mbuga ya Arusha pale kwa ajili ya "kuvutia wawekezaji".. tusihoji kwa sababu ajira itapatikana.

Kama hiilo ni kweli ile sehemu ya wazi ya Jangwani kwanini bado iko wazi? lile ni eneo zuri sana kujenga magorofa ya kisasa, kuongeza ajira na kupunguza tatizo la makazi ya watu wa bondeni. Hata pale Mnazi mmoja sijui kwanini hawataki kupaendeleza?
 
.
Kiwanja cha Sheraton, kilishatolewa tangu enzi za Nyerere kwa wamiliki waitwao Complexe LTD, ndio walionunua Califonia dreamer, hayo mahoteli yote ni wapangaji tuu, kama lilivyo jengo la Haidery Plaza, kiwanja ni cha Mama Siti.

Pasco,

Nilidhani Jengo la Califonia dreamer ni mali ya TPA (THA) na hao jamaa wamepanga tu?Kumbe wameshanunua?
 
Permit zote na EIA zimeshakamilishwa, na ujenzi utasukumwa kwa kasi mno.

Viva RA, nchi yako tanua baba ingawaje sasa hivi inabidi uweke watu wengine front.

Lile ghorofa lililobomolewa ilikuwa amri ya PM sababu linahatarisha investment zao especially Seacliff.
 
Ubaya wa hizi internet new forms of media kama JF ni kwamba hakuna uwajibikaji wa kiasi kinachotakiwa kwajili ya uandishi wa habari ulio ethical and objectivity is non-existent. Ulianzisha thread umekuwa kama Michael Moore, mwishoe no one will take you seriously. Hizi plot ziko chini ya Manispaa na wao wametoa lease kwa watu watakao wekeza kwenye non-permanent forms za businesses on the front, after EIA zikifanyika ili kujua jinsi yakucontrol pollution of the area. Watajenga non-permanent features za kimakuti makuti... sio on a sea cliff level tho. The aim is to provide entertainment ya drive in cinema na food areas na vitu kama hivyo kwaajili ya watu kuenjoy ufukwe. Sijui kama utekelezaji utakuwa kama ilivyosemwa, perhaps not, lakini naomba tuwe objective. This is very low objectivity, kama tupo Venezuela bwana au Saddam's Iraq.lol

Najua of course this area wahindi wamemezea mate muda mrefu, ni hawa wahindi wa cinemax wamepewa amongst a few others as far as I know. Najua lazima rushwa imetembea lakini kuna employment itatokana na haya. The only major thing is that, mazingira yasiharibiwe thats all. That area kunavibaka, ni mtaa yetu wengine tunapajua vizuri. Bora watu wapate ajira bwana. Kwani kitu gani.

Ndugu Kinyambiss
Sidhani kama wewe ni mtanzania ungekuwa mtanzania halisi au mzawa usingesema maneno hayo unatetea wahindi kwa vile watatujengea sehemu ya kuenjoy ufukweni nani alikwambia tatizo la watanzania ni kuenjoy ufukweni eti bora wajenge ili uweze kupita mtaani kwako kwa vile eneo hilo lina vibaka wengi nonsense and hopeless thinking

Watu tunajadili matumizi ya aridhi ya nchi yetu wewe unasema ni low objectivity sasa unataka tujadili maeneo ya nchi gani kama wewe una uraia wa nchi mbili mimi bado naipenda nchi yangu na ardhi yangu

Ndani ya CCM si wote wana akili za panzi kuna siku atatokea kiongozi mzalendo kichaa awe CCM sawa atokee Upinzani sawa atatuongoza kudai chetu na hao wahindi wako unaosema wameuziwa watairudisha hiyo ardhi huku wakisaga meno

Nyerere 1967 alipotaifisha majengo ya wahindi alitokea chama hicho hicho tawala nakumbuka wahindi walikimbia na kuyaacha kuna mchangiaji mmoja kasema tuwaache watujengee kwanza
 
Back
Top Bottom